Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

USM Alger wanazingua...
Bado wao tu
Screenshot_2023-06-03-22-58-57-346_com.betpawa.betpawa.jpg

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Umebutua jackpot ya gemu 13?
 
Ndio ila mkeka umetoweka aupo kwenye rekodi yoyote
Ile jackpot ina mil 600 kasoro. Bila shaka utaipata mkuu, hakikisha simu iko full chaji utaitwa ukakabidhiwe, hela kubwa lazima uende palepale, full makamera! tena kama uko mkoani wanakuja kukuchukua na chopa.
Umeuaga umasikini kama ni kweli.
Mtu wa mwisho kubutua ni jamaa wa sumbawanga mil 200.
 
Sasa kwann mkeka aupo popote
 
Hivi kwa nn kipindi cha pili huwa na magoli ya kisengesenge kwenye baadhi ya mechi,,,,,
Sa Monaco ndo katufanyaje wazee wa DC
 
Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m
Ukibet jackpot wanakutumia mkeka kwenye meseji kwenye simu yako kwani hiyo mikeka uliyobeti haukutumiwa meseji ya mikeka yako??
 
Back
Top Bottom