Black bear
Member
- Jan 21, 2022
- 27
- 38
Wapigie huduma kwa wateja waeleze tatizo hilo watakutatulia..Wakuu habari za usiku,Nilikuwa na mkeka wa jackpot ya sportpesa zilibaki game mbili za jana na zimeshinda ila mkeka umefutwa katika history yangu,nichukue hatua gani pls,atakayefanikisha atapata mgao maana dau lilikuwa karibu 570m