Hapo vp...
Screenshot_20230603-131341.png
 
Haka kaoption kazuri sana. Presha yake ni ndani ya dakika 1 kama kifo cha risasi tu, sio unaipa timu ishinde halafu mpaka dakika ya 60 ishakula 3:0!
Unaanza kuteseka kwa matumaini kwa dk 30 nzima ili irudishe na kushinda.
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
Mmeanza kuwehuka
 
Back
Top Bottom