Nyie watu hebu tushauriane hizi mbili mi nitupie mzigo hapa
Screenshot_20230630_072040_Chrome.jpg
 
Balance 21,246
Stake#10,000
Odds 5.72 Status#LOST

Balance 11246

Asanteni

Sent from my Mi 9 SE using JamiiForums mobile app
Mkuu usiforce incosistence unaongeza odds hadi inakuwa kama tamaa kuna game nzuri tu punguza game za roll over na ukitaka ku roll vyema huwa ni moja au mbili.

Cheza game moja moja ata kwa mwezi mzima game

Ukiweza tengeneza odd zenye interval ya up and down sio kila siku utapata odd mbili tatu n.k

Anza 1.2 mpaka 2 ikiwa siku iko poa

Anza na laki moja au 50k

Roll over rule

-Epuka tamaa
-Sio kila siku unabeti hatakama ni roll over ya siku kumi unaweza icheza ndani ya mwezi mzima ndo unapata safe 10 days
-Kuwa mvumilivu usione inachelewa

Kinyume na hapo cheza tren
 
Point kubwa niliyoipata hapa na ninaunga mkono ni kwamba kama unafanya roll over ya 10 days basi siyo lazima iwe kila siku. Ila unaweza kuzipata safe 10 days ndani ya mwezi mzima depends na game zinazokuwepo.
 
🏀Pale unapojikuta the only last team....imeangukia markets 1 kwa code zote tatu!....

na cashout imefungwa....!

But Aussie.... haijawahi niangusha🏀💯
 
Attachments

  • StitchIt_20233006121142_008.png
    StitchIt_20233006121142_008.png
    26.2 KB · Views: 8
  • StitchIt_20233006121116_604.png
    StitchIt_20233006121116_604.png
    28.1 KB · Views: 7
  • StitchIt_20233006121038_227.png
    StitchIt_20233006121038_227.png
    25.5 KB · Views: 8
Mkuu usiforce incosistence unaongeza odds hadi inakuwa kama tamaa kuna game nzuri tu punguza game za roll over na ukitaka ku roll vyema huwa ni moja au mbili.
Cheza game moja moja ata kwa mwezi mzima game
Ukiweza tengeneza odd zenye interval ya up and down sio kila siku utapata odd mbili tatu n.k
Anza 1.2 mpaka 2 ikiwa siku iko poa
Anza na laki moja au 50k
Roll over rule
-Epuka tamaa
-Sio kila siku unabeti hatakama ni roll over ya siku kumi unaweza icheza ndani ya mwezi mzima ndo unapata safe 10 days
-Kuwa mvumilivu usione inachelewa
Kinyume na hapo cheza tren
 
Mkuu usiforce incosistence unaongeza odds hadi inakuwa kama tamaa kuna game nzuri tu punguza game za roll over na ukitaka ku roll vyema huwa ni moja au mbili.

Cheza game moja moja ata kwa mwezi mzima game

Ukiweza tengeneza odd zenye interval ya up and down sio kila siku utapata odd mbili tatu n.k

Anza 1.2 mpaka 2 ikiwa siku iko poa

Anza na laki moja au 50k

Roll over rule

-Epuka tamaa
-Sio kila siku unabeti hatakama ni roll over ya siku kumi unaweza icheza ndani ya mwezi mzima ndo unapata safe 10 days
-Kuwa mvumilivu usione inachelewa

Kinyume na hapo cheza tren
We mzee una akil sana upewe mkataba wa bandari uupitie
 
Duu dalili nzuri hizibado huyo boya kumaliza dakika chache 5 tu na nyongeza kama 5
Screenshot_20230630-142838_SportyBet.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom