Mkuu usiforce incosistence unaongeza odds hadi inakuwa kama tamaa kuna game nzuri tu punguza game za roll over na ukitaka ku roll vyema huwa ni moja au mbili.
Cheza game moja moja ata kwa mwezi mzima game
Ukiweza tengeneza odd zenye interval ya up and down sio kila siku utapata odd mbili tatu n.k
Anza 1.2 mpaka 2 ikiwa siku iko poa
Anza na laki moja au 50k
Roll over rule
-Epuka tamaa
-Sio kila siku unabeti hatakama ni roll over ya siku kumi unaweza icheza ndani ya mwezi mzima ndo unapata safe 10 days
-Kuwa mvumilivu usione inachelewa
Kinyume na hapo cheza tren
 
We mzee una akil sana upewe mkataba wa bandari uupitie
 
Baada ya kupigwa ban uchwara na jf
Screenshot_20230629-210431_SportyBet.jpg
 
Duu dalili nzuri hizibado huyo boya kumaliza dakika chache 5 tu na nyongeza kama 5
Screenshot_20230630-142838_SportyBet.jpg
 
Mkuu hizi ni live play au?
Live aziwezi kuwa na odd kubwa hivyo kama ukidandia timu zilizo fungana kama hivyo ila mara nyingi nikicheza live huwa naangalia B position ndani ya dk 20 za kwanza ndiyo zinanipa mwongozo wa nibet namna gani
 
Mkuu nimeona BETGEN anafanya VIP ya 2 odd na imelost for one day kwa mwezi juu wa sita...vipi jamaa ni valid au kanjanja tuu?
One month ni Dola 40,miezi miwili ni 50 dollars.Nimetoka kuchat na muhusika,Niko najitafakar either nijilipue au la.
 
Back
Top Bottom