Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,529
- 3,614
Hizo odds ni za kweli kweli, kama jitu lenyewe ni la bandia🤣🤣.. Joking.🏀E175176🏀 Odds 👊. number of events...4
Wakuu naona mapambano kama kawaida.. mie tangu nichezee vifuti mechi za mwisho za league, kanji haioni yena sarafu yangu. Saa hizi nimejenga shavu, nina uhusiano mzuri na mama mwenye nyumba na nakula milo yote mitatu..
Sio mbaya, sihitaji kwenda gym ili nipungue, mwezi wa nane waja, lazima nikonde tu najua