Naoa wote hapo ila tu mwanamke ambae sitoweza kumuoa

ni mwanamke mshirikina au aliewahi kwenda kwa mganga wa kienyeji

kwa swala lolote lile, kiafya,kiuchumi,nk kama ashawahi tia maguu kwa Mganga

wenyewe siku hizi wanamwita ''mtaalam'' asee sioi aina hiyo ya mwanamke ila hao

wengine wote naoa yani sijaona sifa hata 1 hapo ya kunifanya nighairi ndoa kwa nitakaempenda.
 
UPO WRONG BRUDA, Kuna maisha ya sasa na yakesho, leo anaweza akawa wa ovyo then anavyopevuka anakuwa perfect, kuzalia nyumban sio kikwazo cha kusema hafai, wala kuchora tattoo wengine walichora kipindi cha ujana moto moto na zikashindwa kufutika,

RUDIA KUFANYA RESEARCH
 
Kila kitu kinapoanza huwa Kama uzushi.
Haya maneno yanakuja kuwa Movement Mana kurudia rudia huku mnapigilia misumali vichwani mwetu.
#Njoon kwang wote msioolewa.
 
Hili niliskia kwa maskio yangu mawili, siku moja niko sokoni kununua mahitaji flani nikawa nimekaa mahali nasubiria nifungashiwe mzigo wangu!
Kuna demu moja bonge flani lina hips likawa linamwambia shangazi yake ambaye ndio ananiuzia vitu,,,,

“Yani kwa kweli anti maisha magumu bora hata wewe unakaanga kuku mi naona niolewe tu maana kazi nazo zishakuwa shida mwenzangu, bora niolewe nihudumiwe tu”

Nikawaza huyu atakaeoa hili demu atakuwa kala hasara asilimia 100%
Bora huyu yeye anataka kuhudumiwa akiwa ndani ya ndoa maana ni aki yake'' kuna wengine wanataka kuhudumiwa wakiwa nje ya ndoa yani wahudumiwe kila kitu kodi, mavazi na chakula , pesa ya kujikimu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Bora huyu yeye anataka kuhudumiwa akiwa ndani ya ndoa maana ni aki yake'' kuna wengine wanataka kuhudumiwa wakiwa nje ya ndoa yani wahudumiwe kila kitu kodi, mavazi na chakula , pesa ya kujikimu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hahahah yani kwa maana wewe ndio uwe Charitable Services ama NGO flani 😀😀😀
 
Umeandika kwa mihemko sio fact .... Wanawake wa hivyo wapo ilo sio wote hujawahi kukutana na wanawake wanaojitambua
 
Bora huyu yeye anataka kuhudumiwa akiwa ndani ya ndoa maana ni aki yake'' kuna wengine wanataka kuhudumiwa wakiwa nje ya ndoa yani wahudumiwe kila kitu kodi, mavazi na chakula , pesa ya kujikimu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Huu ndo ukweli kabisa ...yaani atafake hata kuumwa ghafla ila mradi tu utume pesa ...Ahadi zake anataka uzipe kipaumbele kuliko yaani analazimisja umnunulie hiki mara kile haraka haraka tu
 
INTRODUCTION
Halooo salama ndugu Wajumbe...
Za weekend.

Hivi unajua ukichunguza kwa makini utagundua Ndoa ni kama Q-NET tuuu..!!!

Yaani ndoa zimezalisha wagonjwa na maskini wengi sanaa.

Wapo waliokuwa wazima ila wameingia kwenye ndoa na kupata visukari na mapresha bila kusahau UKIMWI.

Wapo waliongia kwenye ndoa matajiri ila kwasasa wanapumulia mashine za UMASIKINI....!!

Ndugu zangu ndoa ni Kalynda kabisaa..

SCENARIO.

1. PS wetu wa DED (District Executive Director)
Huyu dada ana mahusiano na muhasibu wetu.
Ila cha ajabu Mwaka huu alitangaza ndoa na mwanaume mwengine..!!!
May/2022 alinipa Kadi ya mchango wa harusi, kundi la WhatsApp likaundwa.
Tukachangia na October harusi ikafungwa.
Wafanyakazi wenzake (pamoja na huyo muhasibu) tukaenda kula ubwabwa washerehe...!!
Mi nakadhani kwa kuwa kashaolewa basi mahusiano na muhasibu yatakufa, ila huwezi amini, alivyomaliza honeymoon akarudi job kaendelea kugongwa na muhasibu.!!!

Ndoa zimejaaa uzinzi mtupu..!!!

2. Dada angu.
Dada angu aliolewa 2017, tokea aolewe sijawahi sikia habari njema kwenye ndoa yake.
Mara Leo kapigwa, Leo ananiomba nimpush kwenye kodi kisa mumewe kasusa, Leo ananipigia analia kisa kamfuma mumewe bar na mwanamke.
Yaani ni full majanga.

Ila in other side dada angu nampenda sanaa, kwanza ni mlokole (huwa akianza kuomba huwa mpaka panya Wana abudu..!!)

Anapiga maombi balaa na hakosi church.

Nikiwa naongea nae utamsikia "ipo siku Mungu atatenda maajabu"

2021 nilivyoona to much sasa, ikabidi nimwambie "Imefika muda sasa unatakiwa kuvunja hiyo ndoa maana Kama kuvumilia vipigo na manyanyaso INATOSHA"

Ila aligoma kumuacha mumewe kisa watoto wake wa4.

Mwaka huu (2022) huwa nikiongea nae anasema "Shemeji yako amebadilika sanaa, anasali siku hizi, kaacha pombe na kawa baba wa familia"

Nikakaa na kujiuliza "Kwahiyo dada kavumilia miaka mi4 ili mtu abadilike..!!""

Yaani kavumilia vipigo, matusi, manyanyaso na Majanga yotee kwa miaka mi4 ili tu mtu abadilike..!!!

Ndoa ni kuuana tu..!!!

3. Kuna pisi najipigia.

Hii pisi inalilia sanaa ndoa.
Juzi bana tumelala simu yake ikawa inaita sanaaa.

Mi usingizi ukapaa, ile simu nikaona kero ikabidi niichukue na kuiweka silent.

Dah pepo la FBI likapanda, si nikaichokonoa bana..!!

Nakuta anachat na mwamba na alimuahidi angeenda kwake siku ile aliyokuja kwangu na mwamba ame-mind anataka kitumbua na demu hajatokea maghetoni kwake..!!

Mi nilisoma chatting zao nikaona hazinihusu Nika screen shot na kujitumia na kuvunga.

Asubuhi akasepa mi nikaenda job kama sijaonaloloteee.

Hapa namsubiri siku tu akomalie ndoa nimlipue kwa kumtumia hizi screen shot "SITAKI ndoa, na hata kama nikioa SIWEZI OA MALAYER"

CONCLUSION.
Hivi ni visa vichache kwenye vingii vinavyoviona huku mtaani.

Wanandoa ni mabatili sanaa mpaka unajiuliza "Kwenye ndoa walifata nini?"

Nikisema niandike visa vyotee nitajaza server za JF buree..

Mabaharia acheni kuoa.
Mabaharia kijiteni kutafuta hela.

Ukiwa na hela utatoa sadaka, zaka, saidia masikini na wenye uhitaji, yaani utaishi maisha ambayo KWENDA MBINGUNI LAZIMA..!!!

Ungekuwa na hela sasa hivi ungekuwa Qatar unapiga selfie na Messi na CR7..!!!

Ukiwa na hela ni full traveling to the adventure..!!!

Ukiwa na hela utakula chochote ukitakacho..!

Yaani kifupi ukiwa na hela YOU WILL BE SOMEONE.

Achana na ndoa tafuta hela.

Yaani unagharamia sherehe na mahari halafu unakuja kugongewa na bwege tu mtaani..

Hizo hela za mahari na sherehe si Bora ungenunua Bond za BOT uone kama zingekusaliti..!!!

Anyway YANGA BINGWA..!!!

#YNWA
 
Hiyo mbona kawaida.

Brother wangu alimfanyia sherehe mchepuko wake ya sendoff alikua anaolewa na kijana mwingine na amemla siku moja kabla ya send off na akaendelea kumla baada ya harusi hadi bro alipohamishwa kikazi kitoka huo mkoa.

Wake za watu ama girl friend kuendelea kuliwa na boyfriend wake wa zamani hata baada ya ndoa ni mambo ya kawaida sana.
 
Back
Top Bottom