Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Wakala wa shetani kivipi?Naona wakala wa shetani yuko kazini. Ni nguvu za giza dhidi ya nguvu za Mwenyezi Mungu. Na unajua nani atashinda? Bado kidogo mtajua
Wakala wa shetani kivipi?Naona wakala wa shetani yuko kazini. Ni nguvu za giza dhidi ya nguvu za Mwenyezi Mungu. Na unajua nani atashinda? Bado kidogo mtajua
Naona wakala wa shetani yuko kazini. Ni nguvu za giza dhidi ya nguvu za Mwenyezi Mungu. Na unajua nani atashinda? Bado kidogo mtajua
Hapana. Mwanamke ana hisia, mwanaume ana akili. Hisia ikiendesha akili matokeo yake ni vurugu tupu. Akili ndiyo inayopaswa kusimamia na kuziongoza hisia.Mwanamke yeye haruhusiwi kuwa na akili?
#YNWA
Hapana. Mwanamke ana hisia, mwanaume ana akili. Hisia ikiendesha akili matokeo yake ni vurugu tupu. Akili ndiyo inayopaswa kusimamia na kuziongoza hisia.
aUsioe mwanamke anayekuzidi urefu. Hata kwa wanyama beberu siku zote anakuwa giant. aHata kuku hivyo hivyo jogoo anakuwa giant. Ukizidiwa urefu ana mwanamke na confidence yako kama mwanaume inashuka




Sijui kametokea wapi haka kavulanaUsioe mwanamke alokuzodi umri........... MWANAUME DHAIFU.
Usioe mwanamke aliyekuzidi Elimu ....MWANAUME DHAIFU
Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato ...MWANAUME DHAIFU.
Kutoboa shingo, kuvaa shangaa, sio Uhuni, Wala sio umalaya ... Kwa Mataifa ya Afrika....... Hii ni sehem ya Urembo wa kitamadan .
