Mc FR
Member
- Jun 21, 2014
- 21
- 7
Hapo, naona watu wanapigwa tu. Kama issue ni software, watu wangepatiwa bure na tra, maana wanatakiwa tena kulipa kodi baada ya kutoa hizo risiti. Tra ingesimamia zoezi hili kwa umakini ili kuepuka watu kulipishwa mahela mengi kwa ajili ya softwareNi kwa shiling laki tatu tu, (300,000 +printer) unajunga na mfumo wa VFD, Okoa garama kwa zaidi ya 50% kwa kujiunga na mfumo wa kisasa DIRM VFD.
Huu ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta.
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, kuwa na watuimiaji zaidi ya mmoja wala hakuna marekebisho ya mara kwa mara.
Pitia hizi hapa sifa za kipekee za Dirm VFD kisha fanya maamuzi sahihi kwa kupiga au whtsp 0753688348