Je, unahitaji mashine ya kutolea risiti za kielektroniki (EFD)?

Jul 26, 2022
34
12
JE,UNAHITAJI MASHINE YA KUTOLEA RISITI ZA KI ELECTRONIKI (EFD)?

Tumia mfumo wa VFD, ni mfumo wa kidigitali ulio idhinishwa moja kwa moja na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kumuwezesha mfanyabiashara au kampuni kutoa risiti za ki electroniki (EFD) kwa kutumia simu janja au kompyuta popote pale ulipo.

HAIJAWAHI KUWA RAHISI HIVIII
Kupata mfumo huu rahisi itakuhitaji uwe na TIN, nakala ya kitambulisho cha mpiga kura, NIDA, leseni ya udereva au pasi ya kusafiria. Toa risiti inayotambulika na TRA kwa kutumia mfumo wa VFD kwani una faida zifuatazo:

1: Utunzaji wa taarifa zako.
2: Inapatikana Tanzania nzima.
3: Kuhudumia zaidi ya tawi moja au branch.
4: Kushare risiti na wateja popote walipo kwa email au WhatsApp
5: Gharama nafuu 300,000/ tu.

OKOA USUMBUFU NA TRA TOA RISITI INAYO TAMBULIKA.
Simu yako, risiti yako kidigitalii.
TUNAPATIKANA MBEZI BEACH, TEVI COMMERCIAL PARK GHOROFA YA PILI.
SIMU NO.0758739886

Screenshot_20230512-182418_1.jpg
 
Ndio Mashine zote Zipo Na Unapata lakini bei yake Ni tofauti Na Mashine Ya VFD tunatuma paka Mikoani
Je, hizo mashine zenu zinaweza kutoa pia zile risiti za miamala ya kibenki?

Mfano Benki ya NMB siku hizi hawatoi mashine za kutolea risiti kwa mawakala wao. Badala yake wamekuja na mfumo wa kutumia simu kwa mawakala. Ne, nikiwa na simu na hiyo mashine yenu, naweza kutoa zile risiti za ki elektroniki za NMB?
 
Back
Top Bottom