INAUZWA VFD: Tumia simu janja kutoa risiti za EFD uokoe gharama na muda

Esokoni

Member
Aug 1, 2018
81
116
Karibu tukupatie VFD kwa bei ya punguzo kwa mwezi huu wa kwanza (January 2023).

Bei ya kawaida ni 300,000/= ila kwa mwezi huu wa kwanza tutakuuzia 280,000/=
VFD ni mfumo unaokuwezesha kutoa risiti halali za EFD kwa kutumia simu au computer popote ulipo.

Huu mfumo ni halali na umethibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE.

Nimekuwekea Faida za kutumia VFD kwenye poster kisha wasiliana nasi kwa whtsp au piga 0753688348.

Tuko Dar es salaam huduma tunatoa popote ulipo Tanzania.

20221010_125850.jpg
20220920_142413.jpg
20220921_111403.jpg
20230110_074449.jpg
 
Ofa bado inaendelea kwa mwezi huu wa kwanza, hakikisha unapata VFD yako usijngie gharama za ziada
 
KWA WASAMBAZAJI WA BIDHAA HII DIRM VFD INAWAFAA SANA.



Hii ni App au mfumo wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au Computer au vyote kwa pamoja, Ni rahisi, Haraka, halali na inafaa kwa biashara zote zilizosajiliwa kama kampuni, jina la biashara nk.

-sasa wale wenye biashara za kusambaza kwa wateja utaweza kuongeza user/watumiaji kulingana na mahitaji yako.

- Kila risiti itaonesha nani kaitoa na muda gani na kiasi gani.

- kila mtumiaji atakuwa anaweza kuona risiti zake tu alizotoa bila kuona za mwenzake.

- Admini anaweza kuona risiti zote vile vile Admini unaweza kuangalia risiti za mtu fulani kweye system yake.

Hivyo hauitaji kuwa na mashine kubwa kwa kila gari au kituo cha mauzo VFD ni mbadala wake.

NB: Hizi huduma zote hakuna malipo ya ziada labda kununua printer tu.

Huu mfumo ni halali umethibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE,
 
Back
Top Bottom