Halafu kuna wadudu wanamfananisha Mama na Marehemu Muuwaji. Kweli Mama Samia ni chaguo la mungu.

Moja ya hukumu za haki kutolewa ni kuwafukuza wabunge wasio na chama ndani ya bunge, wale Covid 19 wote. Waje mtaani kufa njaa.

CCM wameambiwa waliozoe uongo uongo na fitina sasa ni mwisho. Hakuna kuishi kwa kutumia unafiki.
 
Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais

Mama yetu ningependa kukushauri acha maneno mengi fanya kazi wanaokupongeza kwa hotuba hao ni wanafiki. Tena katika Hotuba yako ya leo kuna moja walilokuwa Wanasubiri nalo ni wewe kusema utakutana na Viongozi wa vyama vya kisiasa ilo ndilo hitaji lao maana Twitter leo ni kama hamna watu vile ipo kimya wapo Bize wanaanda suti za kuja Ikulu.
Yaani ulitegemea nini in such a short time.Halafu unataka kila linalofanywa uambiwe,who are you.Acha ujinga wewe.Ridicule,ridicule,ridicule what is wrong with you.Come on, come to your senses.
 
Mleta mada wachanongwa hata roma haikujengwa kwa siku moja. Ww unamtathimini Mama kwa hotuba nne, kwa hiyo unataka Tanzania tuwe kwenye G7 kwa mwezi mmoja tangu Mama awe mkuu wa nchi. Sisi watanzania tumefarijika kwa hizo hotuba zote na tunaona neema inakuja.
 
Huu uzi ninahisi kuna mtu mmoja ameufungua halafu anauchangia kwa ids tofauti tofauti na lengo lake ni kumchafua mama.

Mama ni mtu wa vitendo, mfano mdogo agizo kuhusu TRA kutotumia nguvu na tumeona tayari wafanyabiashara ambao account zimefunguliwa tayari. Na mengi mazuri yanakuja, stay tuned
 
Ninawambia ninawambia mpk sasa zimetoka ahadi 27 toka tarehe 31-3-2021 hata moja hawajateleza kwa vitendo tukianza na ile ndogo tu ya vifurushi vya simu mpk sasa ni mitandao 3 tu ndo imetii mingine yote imegoma sasa kama CEO wanakuletea kiburi na kukaidi maagizo itakuwa wengine?

Mama anatakiwa kusimamia kile anachosema leo watu wanamchukia JPM coz alikuwa anasimamia kile anachosena hata kama ni chakijinga

Sema wanawake wa nchii hii si wezi ilo tu ndo nina imani 100% kwani mpk sasa mwanamke wenye kashfa ya wizi ni mmoja tu Prof wa bukoba na yeye alipewa so kwenye wizi nina imani ila wanaomzunguka wataiba sana kwa vile wanajua huyu ni mama pia ni mpole pia ana huruma
 
Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais

Mama yetu ningependa kukushauri acha maneno mengi fanya kazi wanaokupongeza kwa hotuba hao ni wanafiki. Tena katika Hotuba yako ya leo kuna moja walilokuwa Wanasubiri nalo ni wewe kusema utakutana na Viongozi wa vyama vya kisiasa ilo ndilo hitaji lao maana Twitter leo ni kama hamna watu vile ipo kimya wapo Bize wanaanda suti za kuja Ikulu.
Wapinzani wakamshauri mama kwamba tunahitaji serikali tatu. Tuwe na Rais wa Muungano, Rais wa Tanganyika na Rais wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom