jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,007
- 22,549
Kwahiyo unaona umeongea kitu cha maana? Acha hizo wewe. Nina sympathize na MastaKiraka pamoja na kwamba hasira zake amepeleka kwa timu ya Taifa kwamba ipoteze mechi.Mimi hapa kijijini Kibaigwa niliwekeza kwenye jenereta nzuri tu hivyo kuna "continuity" ya umeme.