Mpira wenyewe tunalazimisha tu hatujui mpira bwanaKabisa Mkuu
Na pia sioni mchango wa kocha pale uwanjani, hapangi Wachezaji, habadilishi Mfumo, yaani yupoyupo tu
Hasa SamattaHuyu tshabalala samatta nawaona kama wadudu kupe humu uwanjani
.mavi matupu
Kumbe Yanga mlianza kumpendaToto Sukari linaingia.
Tunajua nin mkuu?Mpira wenyewe tunalazimisha tu hatujui mpira bwana
Sasa sikuhizi Samatta ana nini zaidi ya kurukaruka tu uwanjani?Kwahiyo FEI toto Ana kiwango kuliko Samata
Bado Himid MaoIlikua swala la mda tu.
Mpuuz m1 kala umeme
Huyu dogo haisaidii timu mechi mbili had myekudu fknKocha angekuwa na akili, anhemtoa huyo Miroshi, abadilishe formation, aingize kina Kibu huko.
HATUNA KOCHA. Period
Majungu na uchawaTunajua nin mkuu?
Kocha ndo shida. Subiri utaonaNilichokisema kimetokea.
Hawa vijana wetu wa Taifa Stars ni wajinga sana.
Hakukuwa na umuhimu wowote wa kucheza rafu ile.
Mpuuzi huyo dogo..Kadi nyekunduu tayariiiiiii
Novatus Dismas