ajira zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Masoud Amour: Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika ajira lakini ziko ajira hatuzitaki wenyewe

    Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026. "Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika ajira lakini ziko ajira hatuzitaki wenyewe." "Ukiambiwa kuna ajira hoteli ya mtoto wako wa kike eh ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira Zanzibar

    📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢 Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza. 🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana: 🗣 LUGHA ZA KIGENI ✅ English ✅ French ✅...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuwepo kwa nafazi za kazi ya ulinzi, mahali ni Kusini Unguja

    Tangazo la kuwepo kwa nafazi za kazi ya ulinzi, mahali ni Kusini Unguja Bwejuu Zanzibar, wanatakiwa vijana 25 wake kwa waume, raia wa Tanzaia , wenye namba za nida, waliopita mafunzo ya JKT au mgambo urefu ni futi 5.8 na kendelea, wenye simu janja zenye version ya android kuanzia 10, aidha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tume ya Utumishi Zanzibar inaita waajiriwa wapya kimya kimya. Itoe orodha kamili ili kuziba mianya ya rushwa na upendeleo

    Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar. Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya kwanza ya maandishi (written interview) na haikuzidi siku tatu list ya Interview ya pili ya ana kwa ana...
  5. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Naombeni 'connection' ya kazi

    Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Finance Supervisor-Zanzibar at Expert Consultancy April, 2024

    Job Title: Finance Supervisor Department: Finance Department Report to: Finance Manager Salary: Competitive Salary Package Location: Zanzibar On behalf of our client we are currently searching for the qualified candidates to join our client team as Finance Supervisor to be based in Zanzibar...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za bara tunaomba wote, lakini za Zanzibar wanataka Mzanzibar pekee

    Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili. Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar. Mzanzibar anafaida mara 2...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Posts at People's Bank of Zanzibar

    POST: BANK OPERATIONS OFFICER – 7 POSTS. DUTY STATION: Unguja -2 Post, Pemba-2 Post, Mbeya –1, Morogoro -2 Post. Minimum Qualifications, Experience and Competency. Holder of Bachelor Degree of Banking and Finance, Islamic Banking or its equivalent and related qualifications. ii. Computer...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Internship at Good Neighbors February, 2024

    Position: Internship Location: Zanzibar Contract Status: Assistant officer C Contract Length: 2 Months with possibilities of extension. Project Name: Strengthening the capacity of secondary school education through radio educational broadcasting in Zanzibar PROJECT DESCRIPTION: Good...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Posts at Revolutionary Government of Zanzibar

    The Revolutionary Government of Zanzibar has signed an agreement with the Government of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland to work together in fighting corruption and serious organised crime through the implementation of the Building Sustainable Anti-Corruption Action in...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Relationship Manager; Government Business at NMB Bank

    Position: Senior Relationship Manager; Government Business Location: Zanzibar Main Responsibilities Support the unit’s growth and profitability through effective development of new businesses with Revolutionary Government of Zanzibar (RGoZ) for both Unguja & Pemba. Work closely with other...
Back
Top Bottom