Thinking Aloud, Suppose, ... Asinge? Je... Ingemsimamisha ... 2025?. Wanzanzibari Wazuri, Majasiri Kuliko Wabara! Watendewe Haki Ndani ya Muungano!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,604
Wanabodi

Umasikini mkubwa zaidi na umasikini mbaya zaidi, ni umasikini wa fikra!. Kwa maoni yangu, Watanzania ni masikini sana kwasababu ya fikra za kimasikini, we just don't think, sio kwasababu hatuwezi kufikiri, no!, ukweli ni kuwa wengi wetu, hawana uwezo to think, let alone critical thinking!.

Hivyo ili Tanzania tupige hatua kubwa kimaendeleo, hatua ya kwanza ni changing the mindset ya kimasikini ya Watanzania yenye backward pessimistic outlook full of negativity into foward looking optimistic outlook with positive mindset.

Hivyo mimi najihesabu ni mwalimu wa kujitolea wa somo la changing mindset, na somo la kwanza kwenye changing mindset ni lazima kwanza Watanzania tujifunze to think positive and critical thinking.

Hivyo hili ni bandiko la thinking aloud on critical thinking na critical analysis kwa kuuliza haya maswali ambayo ili uelewe nazungumzia nini, you have to think,
lazima uitume bongo yako kufikiri, nakuwa nimewasaidia Watanzania wenzangu kufikiri critical, hii ndio hatua ya kwanza ya changing mindset.

Swali lenyewe ni hili, "Suppose kusingetokea like tukio, yaani kama yule jamaa yetu, naniliu, asinge nanilii, na kuendelea hadi 2025, jee kile chetu, tegemewa tukipendacho, kingemsimamisha huyu nanilii 2025?.

Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa Bara na Visiwani, Baada ya Mwalimu Nyerere kutoka Bara, alipaswa apokekelewe na Mzanzibari Mzanzibari, lakini ile 1985 tukawapelekea Mzanzibari Mzanzibara wa Mkuranga!.

Mwaka 1995 ikawa ni zamu ya Bara, hivyo mwaka 2005 ilipaswa iwe ni zamu ya Zanzibar!, zamu hiyo ilipokwa!. Hivyo baada ya kuipoka, nikashauri Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na ki-Muungano, 2015 Si Zamu ya Zanzibar?

Dalili zote zi kile chetu... zilionyesha hakuna tena mpango na kumpa Mzanzibari, wao watakuwa wanaishia kwenye VP only!, nikauliza Je, kunahitajika ‘affirmative action’ ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT? sauti hii ilikuwa ni kumpigia tuu mbuzi gitaa!.

Mwenyeezi Mungu ni mtu wa haki bin haki, aliiona hii dhulma kubwa wanayotendewa Wanzanzibari ndani ya urais wa Muungano, hivyo Mungu ndio akaamua kuleta kudra zake tuu, na hivyo kumuinua Mzanzibari, tena Mwanamke Rahim, na kumfanya kuwa rais wa JMT, hivyo huyu Mama ndie Mzanzibari Mzanzibari wa kwanza kuwa rais wa JMT!.
Thinking aloud yangu inanielekeza, kama lisingetikea la kutokea, yule Mwamba angeendelea mpaka 2025, na amini usiamini, kile chetu... kisingemsimanisha 1. Mwanamke, 2. Mzanzibari!.

Nikijiuliza sababu ni nini?, kiukweli hakuna sababu yoyote, ni dhulma tuu na ubaguzi wa kuwabagua bila sababu yoyote ya msingi, kwasababu kama ni uwezo naamini kabisa ameonyesha uwezo mkubwa sana tena kuliko hata watangulizi wake.

Leo nimeikumbuka mada hii, baada ya kusoma bandiko hili. Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

Bandiko hili limenikirisha sana jinsi Wanzanzibari walivyo ni majasiri sana!. Hapa Tanzania bara sikumbuki ni lini Waziri yoyote amejiuzulu yeye mwenyewe kwa ridhaa yake mwenyewe bila shinikizo lolote!. Niliwahi kushauri Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma kisha nikashauri tena Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?

Kitendo alichokifanya Waziri huyu Mzanzibari ni cha kupigiwa mfano wa jinsi Wazanzibari walivyo ni watu wa misimamo thabiti.

Nakumbuka enzi za ngangari na ngunguri, sijui ni kwanini mpaka leo hatujawahi kupata CDF, IGP or DGIS Mzanzibari?!, jee inawezekana Wanzanzibari wenye uwezo huo wapo ila wanabaniwa tuu?. Niliwahi kuuliza Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine? au kwavile ujasiri ni mambo ya morality na ukakamavu ni physique, jamaa ni majasiri tuu ila kwenye physique ni laini laini ndio maana jeshini wanahesabika?.

Mzanzibari mwingine mwenye msimamo mkali ndani ya SMZ, ni huyu jamaa anayeitwa OMO, japo niliwahi kushauri Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii na kweli akafutwa kazi!, alipoibukia huko alikoibuka, na saa hizi yumo ndani ya SUK, kama uchaguzi wa Zanzibar utafanyia kwa haki bin haki, 2025 Zanzibar ni huyu jamaa, ila kumtendea haki Dakitari nimetoa ushauri kwenye kama HII mada hapo.

Hitimisho
Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa Bara na Visiwani, Tutendeeni haki kwa wote, na kwa vile Mama ameisha jitanabaisha yeye ni mtu wa haki bin haki Haki Huinua Taifa! Rais Samia kwa Kauli na Matendo ameonesha ni mtu wa Haki. Akitekeleza hili kama alivyosema, atabarikiwa, Tanzania itabarikiwa

Akitenda haki hizo, atabarikiwa sana na Tanzania Itabarikiwa sana!.
Mungu Mbariki Rais Samia Aweze Kutenda Haki Zote!.

Mungu ibariki Tanzania

Ijumaa Karim

Paskali
 
Huyu mzee kaanza kuwa chawa sasa nimesoma cjamaliza nimeona unaelezea hisia zako tu binafsi iko hv namna unavyofiki kamwe haiwezi tokea wote tukafiri kama wewe ndo maana Mungu akatupata ufahamu. Na kusema watanzania ni maskini wa kufikiri ni matusi ya wazi na kutukosea watanzania wote hata hao unaojaribu kuwasafisha
 
Kwani asingenaniliu angeachia urais? Kumbuka tulikuwa na mpango wa kubadili katiba kipindi cha uchaguzi kiwe miaka saba Saba na hivyo ndio angeanza miaka ya mwanzo 2025 then 2032 aanze kipindi Cha pili Cha miaka saba. Hata kama angekataa mpango wetu ilikuwa ni kumlazimisha
 
Tatizo kubwa la nchi yetu ni wasomi kuwa chawa na watu wakujipendekeza kwa watawala, huu ndiyo ugonjwa kuliko magonjwa yote, nchi haina midahalo ni maelekezo na ndoto za Rais, kwamba Rais anawaza kama MUNGU kwa niamba ya watanzania 63M? lazima kuwe na mifumo imara na siyo mawazo ya mtu. Nchi inaishi kwa hisani ya Rais na siyo mipango mikakati, sheria, kanuni na taratibu.
 
Tupe historia ya huyo mwanamke mzanzibari tujiridhishe pasi na shaka kuwa ni mzanzibari Kweli Kweli.

Pia nawe Leo umeanguka katika mtego wa kumwangalia kiongozi mkuu wa nafasi ya juu kabisa Kwa jicho la JINSIA na Mahali anakotoka.
 
Umasikini mkubwa zaidi na umasikini mbaya zaidi, ni umasikini wa fikra!.

Ukisikia kiongozi anasema ametokea mazingira ya umasikini uliotopea basi huyo hafai, maana kwa tamaduni zetu mwanafamilia akipata cheo tunajua familia, ukoo na kijiji kitashangilia tumeula.

Lakini hapo ndipo tatizo linakuja majukumu kibao, kujiuzulu inakuwa ngumu ukifikiria wazazi, familia, ukoo, marafiki na kijiji ulikuwa umewabeba.

Tukisikia mgombea au mtia nia kugombea nafasi ya uongozi akiweka mbele kuwa umasikini unamsumbua, huyo hafai kupewa uongozi. Muda wote ofisini atakuwa anawaza jinsi ya kutumia ofisi kujiongezea kipato yeye badala ya kuwaza majukumu mapana ya umma wa mamilioni ya raia.
 
Kuna mtu mmoja mweupe (Mjapani) aliniambia hii kauli miaka mingi kidogo yeye akaongezea na kusema hata maprofesa wenu hawana uwezo wa kufikiri!!!

Nilikuja kuamini pale nilipoona msafara wa V8 kama 15 zinaenda kuzindua madarasa mawili ya sekondari!
Inasikitisha sana 😭
 
Ukiwa na kauwezo kidogo ka kufikiri zaidi yao wanakutupilia mbali na kusema huyu sio mwenzetu !
Na ni bahati kama hutotengenezewa zengwe la kukumaliza usisikike tena !!
 
Ukisikia kiongozi anasema ametokea mazingira ya umasikini uliotopea basi huyo hafai, maana kwa tamaduni zetu mwanafamilia akipata cheo tunajua familia, ukoo na kijiji kitashangilia tumeula.

Lakini hapo ndipo tatizo linakuja majukumu kibao, kujiuzulu inakuwa ngumu ukifikiria wazazi, familia, ukoo, marafiki na kijiji ulikuwa umewabeba.

Tukisikia mgombea au mtia nia kugombea nafasi ya uongozi akiweka mbele kuwa umasikini unamsumbua, huyo hafai kupewa uongozi. Muda wote ofisini atakuwa anawaza jinsi ya kutumia ofisi kujiongezea kipato yeye badala ya kuwaza majukumu mapana ya umma wa mamilioni ya raia.
Wezi wengi wa mali za umma ni hao wenye nazo !!
Tabia ya mali kadri unavyopata mali nyingi ndio unataka upate nyingi zaidi !
Nyerere hakuwa Tajiri lakini pia hakuwa Fisadi na alikuwa mzalendo kweli kweli !!
 
Wewe mwenyewe ni chawa "hatua ya kwanza ni changing the mindset ya kimasikini ya Watanzania yenye backward pessimistic outlook full of negativity into foward looking optimistic outlook with positive mindset". siku nyie mkiacha uchawa na kujipendekeza Tz ndiyo itapata maendeleo
100%

Ndugu yangu ni chawa tena chawa ktk utumwa wa Fikra na woga mkubwa ...angekuwa mbali sana ila uchawa na woka na kutokujiamini
 
Wewe mwenyewe ni chawa "hatua ya kwanza ni changing the mindset ya kimasikini ya Watanzania yenye backward pessimistic outlook full of negativity into foward looking optimistic outlook with positive mindset". siku nyie mkiacha uchawa na kujipendekeza Tz ndiyo itapata maendeleo
100%

Ndugu yangu ni chawa tena chawa ktk utumwa wa Fikra na woga mkubwa ...angekuwa mbali sana ila uchawa na woga na kutokujiamini
 
Ukisikia kiongozi anasema ametokea mazingira ya umasikini uliotopea basi huyo hafai, maana kwa tamaduni zetu mwanafamilia akipata cheo tunajua familia, ukoo na kijiji kitashangilia tumeula.

Lakini hapo ndipo tatizo linakuja majukumu kibao, kujiuzulu inakuwa ngumu ukifikiria wazazi, familia, ukoo, marafiki na kijiji ulikuwa umewabeba.

Tukisikia mgombea au mtia nia kugombea nafasi ya uongozi akiweka mbele kuwa umasikini unamsumbua, huyo hafai kupewa uongozi. Muda wote ofisini atakuwa anawaza jinsi ya kutumia ofisi kujiongezea kipato yeye badala ya kuwaza majukumu mapana ya umma wa mamilioni ya raia.
Umasikini hauhusiani na uongozi bora au wa hovyo wa mhusika.
 
Back
Top Bottom