Wapemba kila sehemu ila wabara Zanzibar Noooo

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
23C092E1-E306-4FA8-965D-70DA468195AC.jpeg
 
Tumeliwa, tuungane watanganyika kuwa na Tanganyika. Tatizo ni Hawa Alina ACT na UDP Cheyo etc Al wapambe wa CCM
 
Kama mpemba anakuwa Rais ...kuna cheo kikubwa na sensitive zaidi ya Urais??
Acheni nongwa fanyeni kazi...
Kama it's okay Rais kuwa mpemba basi vyeo vyote vingine hakuna tatizo

Unless mseme sheria inayo kataza iko wapi?
 
Kwenda zao huko, huyu bikirembwe ana mambo ya kijinga mno..! Subiria tumpige fitina nchi ata waichukue upinzani.
 
Kama mpemba anakuwa Rais ...kuna cheo kikubwa na sensitive zaidi ya Urais??
Acheni nongwa fanyeni kazi...
Kama it's okay Rais kuwa mpemba basi vyeo vyote vingine hakuna tatizo

Unless mseme sheria inayo kataza iko wapi?
Umekuwa na element za Kiuchawa siku hizi. Watanganyika tuna fursa kama hizo huko Nchi ya jirani???
 
Back
Top Bottom