waasisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Kauliza muulizaji kwanini majina ya Waasisi wa African Association hayapo katika historia ya TANU

    KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’ Kijana alichonitafutia ni historia ya Muungano wa Tanzania mwaka wa 1964. Akanifahamisha kuwa amesoma kitabu cha historia ya...
  2. B

    Constantine Oswald Millinga: Mmoja wa waasisi 17 wa TANU mwaka 1954

    MAKALA: MZEE MILLINGA MUASISI WA TANU TUTAMKUMBUKA DAIMA Mzee Constantine Oswald Millinga mmoja wa waasisi wa TANU akiwa na rais Jakaya Kikwete Na Kassian Nyandindi, SIKU zote binadamu anapozungumzia jambo la kimaendeleo kuelekea Uhuru wa Tanganyika, amekuwa akitoa taswira au picha ya...
  3. MK254

    Historia na miaka ya hizi dini na waasisi wake

    Kwa mnaopenda kulipuka mabomu kisa dini, hebu jitafuteni humu, wapi mlikoanzia na mliowakuta....
  4. Eli Cohen

    Jihadi haina utakatifu wowote, ni mkakati wa matamanio binafsi ya waasisi wa itikadi kali

    Ngoja nikuambie vyema mpendwa kama hautaki kuelewa basi bishana na mizimu ya nyumbani kwenu. Hakika njia iliobaki kipindi waasisi wenu wanaijenga imani yenu na kuisambaza ilikuwa ni force na intimidation. Kipindi Muhamad anaanzisha imani yenu aliwahakikishia imani nyingine za uyahudi na...
  5. Huihui2

    Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

    Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM." Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
  6. Mohamed Said

    TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  7. Mohamed Said

    African Association iliasisiwa mwaka gani na nani waasisi wake?

    AFRICAN ASSOCIATION ILIASISIWA MWAKA GANI NA NANI WAASISI WAKE? Kuna kijana kaniandikia anaomba maoni yangu kuhusu aliyosoma katika kitabu hicho hapo chini "Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: "Baba naomba nikusumbue. Naomba usome kuanzia ukurasa wa 20 ''Mchango wa Jumuiya Mbalimbali kwenye...
Back
Top Bottom