Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,277
- 8,004
Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM."
Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au Mzee Makamba.
Maadam umekwishalipa fadhila sasa chapa kazi na uisiangalie makunyanzi. Najuwa kuwa wengi wanafanya vibaya na pengine walistahili kuwa Mahakamani wakijibu tuhuma za ufisadi au uzembe lakini unaogopa kuwapekea huko kwa kuwa ni watoto wa waasisi.
Ushauri wangu wa mwisho kwako ili ufanikiwe ni kama ifuatavyo;
1. Rudia mfumo wa zamani uliokuwapo kabla ya 2015 ambapo kazi zinatangazwa magazetini na Watanzania wenye uwezo wanashindanishwa kupitia Bodi then unapata mtu mwenye uwezo ndiyo unamteua baaday ya Bodi na Waziri kukupa took 3.
Kwa namna hii ukimpata CEO bora ata perform na asipo perform ni rahisi kumtimua kwa KPIs alizopewa. Na akiiba au akifanya uzembe ni rahisi kumpeleka Mahakamani kwa kuwa Rais unakuwa huna mtu unayemlipa fadhila