ndoa

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la dini litanikosesha ndoa. Naombeni ushauri

    Wakuu naandika huku nina stress. Huwa ni mzito wa kuongelea mambo yangu ya mapenzi ila hapa JF naona ni sehemu sahihi ya kuomba ushauri kwasababu kila mtu yupo huru kwa feki ID. Kiufupi mimi ni kijana mdogo wa miaka 37, mkristo na mwanachama wa CCM. Baada ya kumpata msichana tuliyependana...
  2. General Nguli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashauri Ndoa ifundishwe kama somo shuleni au vyuoni

    Nashauri serikali iweze kuanzisha somo la Ndoa kwa kila mmoja anaekaribia kuingia humo. Hakika wengi wetu tunaingia katika ndoa bila kujua bila kuelewa ndoa nakujikuta tunazama kupitia Mihemko. Ndoa ni familia. Familia ndo jamii na jamii ni Nchi. Hakika kuna haja ya Serikali kuwekeza kwenye...
  3. General Nguli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaasa vijana wale wanaotaka kuingia katika ndoa

    Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa. Kiufupi wote tuna Mishahara. 1. Kuu kuliko yote hakikisha Mchumba Mke ama Mume anamuelezea mwenzie mahitaji...
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiukweli ndoa za sasa sio kwa ajili ya Mwanaume/ Mwanamke dhaifu

     Nimeshuhudia ndoa nne za gharama (nilizochanga Mimi) ndani ya miezi 6_9, tatu kati ya hizo zikipumulia Mashine Huku moja iliyodumu kwa Mwezi mmoja (siku ya harusi kamati ilimpa zawadi ya million 10 Bwanaharusi) ikisambaratika huku bibi harusi akitolewa mkuku au vijana wa mjini wakisema...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili. Angalizo la Uzalendo Haya ni maswali critical, yanayotokana na critical thinking na critical analysis kwa lengo la kuwaelimisha Watanzania some complex...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatuna ndoa na CCM. CCM ni mahasimu wetu, hawatuamini na sisi hatuwaamini

    Mbowe amesema hayo katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World leo tarehe 14/7/2023, akiwa anajibu kuhusu CHADEMA kuwa mezani na CCM, akasema; Russia na Ukraine vita vinaendelea huku mazungumzo juu ya namna ya kumaliza vita yanaendelea, maana...
  7. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Mahakama zenye mamlaka (jurisdiction) ya kusikiliza kesi za ndoa nchini Tanzania

    Mahakama za kesi za ndoa. Habari mpendwa msomaji! Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani. Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo: -Jinsi ya kufungua shauri au kesi ya ndoa. -Masharti kabla ya kufungua kesi ya ndoa. -Ukomo wa muda wa...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Uelewa mdogo wa jamii juu ya Uzazi wa Mpango, ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni

    Ukosefu wa Elimu ya Uzazi wa Mpango katika Jamii nyingi hasa Wazazi, hupelekea watoto wao kupata mimba za Utotoni ambazo nyingi husababisha ndoa za utotoni. Vijana wengi hawana Uelewa juu ya mabadiliko yao ya kimwili yanayoambatana na kuanza mahusiano ya kimapenzi kwenye Umri mdogo bila kuwa na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Hellow Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana japo kuwa kuna wakati matatizo yanasababishwa na pande zote mbili Kwa upande wa mwanaume vitu vinavyo pelekea wao kuleta migogoro kwenye ndo ni mwanaume kutokana a jamii ilivyo mshape na kuonekana kuwa ndio final say au mtoaji maamuzi kwenye...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Tanganyika ilibakwa, muungano ni sawa na ndoa ya utotoni

    Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika. Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi...
  12. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wanaume walalamika kurukishwa kichurachura ili wapewe tendo la ndoa

    WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

    Wakuu, za siku nyingi? Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu. 1. Iringa 2. Mara 3. Shinyqnga 4. Mwanza 5. Kigoma 6. Simiyu 7. Geita. 8. Mbeya 9. Ruvuma 10. Njombe 11. Tabora 12...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  15. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Shairi: Kama hamtaki ndoa, Rudisheni Pesa Zangu

    Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani, Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani, Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani, Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu. Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu, Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu, Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu, Kama hamtaki ndoa...
  16. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kutoka 21:10 huu ni uzinzi au ndoa ya mke zaidi ya moja ilikuwa halali?

    Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini? Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
  17. Russia is not your enemy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magomvi kwenye ndoa huwapa nafasi kubwa mafisi

    Wake za watu wengi hupatwa na hili tatizo chamzo ni migogoro
  18. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa ndoa

    Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi. DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
  20. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
Back
Top Bottom