ndoa

  1. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  2. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wanandoa wengi hawapendi kuvaa pete za ndoa?

    Kuna jambo linanitatiza sana maana nimefanya research kiasi nikuwa huko mikoani na hata nilipofika huku Dar hili nimeliona sana. Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanya kwa kiasi toka miaka ya 2000 wanandoa wengi japo sio wote hawaonekani kuwa na pete za ndoa kwenye mikono yao, nilijaribu...
  3. Roca fella

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha na mahusiano ya mapenzi

    Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  5. R-K-O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi. Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Habari wana jamvi? Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti? Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
  7. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  8. African Geek

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  9. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Nabi na Yanga, ndoa iliyoisha kwa amani na miguno

    ITACHEKESHA kusema kwamba mmoja kati ya makocha waliodumu sana katika timu kubwa katika miaka ya karibuni hapa nchini hatimaye ameng’oka. Nassiredine Nabi. Anaweza kuwa amekaa misimu mitatu tu Yanga lakini kwa mpira wetu amekaa muda mrefu. Katika kipindi chake unadhani Simba na Azam wamepita...
  10. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni trading, ndoa ni contract, ndoa ni partnership. Wanawake wapo makini sana kujilinda wasipate hasara kwenye biashara /mkataba wa ndoa

    Hongereni sana wanawake. Ukweli mchungu kwa wanaume wote kwamba, Hawa viumbe wa kike hili game la TRADING are better off than men. NDOA NI MKATABA WA KISHERIA Marriage is a legally binding contract. What fool doesn’t want to know the other party’s strengths? Kabla hajasaini mkataba huo. Mara...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU. Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Kikongwe wa Miaka 102 Afunga Ndoa na Mkewe Mwenye Miaka 90

    Hongera kwao ila mwenye miaka 90 anaonekana Mzee Kupitia wa miaka 102. ===== Masasila Kibuta (102) mkazi wa kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza ameshangaza umati wa waumini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Nyamazungo baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe Chem Mayala (90)...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuleta Wadogo / Ndugu zenu wa Kike Majumbani mwenu, kwani Wanawavunjieni mno Ndoa zenu

    Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi. Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike...
  14. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Dini ni Chanzo cha watu kunyanyasika kwenye ndoa

    Habari za wakati huu mwana jamii. Polee kwa majukumu ya kila siku ya kutafuta mkate kwa ajili ya familia yako. Matumaini yangu kuwa wewe unayesoma umzima wa Afya. Niende kwenye mada. Katina ulimwengu huu tuishio, yapo mpokeo ambayo yamekuwepo toka enzi na enzi. Mapokeo haya yanaweza kuwa ya...
  15. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii tafsiri ya cheti cha ndoa, ikusaidie kujitafakari sana kabla hujakisaini

    Ndoa kiroho ni agano. Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia. Siku hiyo unasaini hati ya Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini. Maisha ya migogoro au amani Nini...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Habari, Ngoja nianzia mbali kidogo mpate kuelewa mke wangu ni mtu wa aina gani. Na ilikuwaje mpaka nikazaa nje. Mimi na mke wangu tulikutana kwenye kongamano la injiri kipindi namaliza chuo yeye alikuwa anasoma chuo kingine tofauti na chetu. Ni mtu mpole sana niseme ukweli, na anavaa mavazi ya...
  17. MKATA KIU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

    Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto. Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto inakuwa tabu sana. Na wengi wao hawazai kabisa. Wanawake wengi wa mjini Mjini wanatumia vizuia mimba...
  18. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hizi Ndoa naziona hivi peke yangu au tupo wengi?

    Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu. Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure 🥲
  19. YE67NBE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

    Habari kwenu, nyote Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu wanakulazimisha uoe, Lakini pia ukiangalia vitu vyote wanavyopata wanaume wenzako kwenye ndoa...
  20. Wakuperuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

    Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani. Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
Back
Top Bottom