Nina mwaka wa sita sijavaa pete ya ndoa, je ni kosa?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,482
40,494
Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa.

Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu.

Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na wale waliobahatika kuonja mvinyo, hawataki kuniacha niende.

Je, kutokuvaa pete ya ndoa ni makosa?​
 
Peleka sonara wakaitanue acha visingizio vya kuhalalisha zinaa

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa.

Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu.

Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na wale waliobahatika kuonja mvinyo, hawataki kuniacha niende.

Je, kutokuvaa pete ya ndoa ni makosa?​

Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa.

Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu.

Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na wale waliobahatika kuonja mvinyo, hawataki kuniacha niende.

Je, kutokuvaa pete ya ndoa ni makosa?​
Sisi waislam tunavaaa Pete za majini tuuu na hatuna shida mbona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom