ndoa

  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ndoa za wanawake walofundwa unyago na kafundika hazivunjiki

    Hello, Maua mengi kwa wanawake walofundwa unyago Mungu awabariki, maana mnaishi ndoa zenu kama mko peponi, ni nadra sana ndoa za hawa wanawake kuvunjika. Malaika wa mbinguni aendelee kuwabariki sana. Hawa wanawake hata akiwa mchepuko wako hawana ujinga wa kuwasema vibaya waume zao. Na hata...
  2. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Kamati za Kupinga Ukatili Zanzibar zashauri Elimu ya Ndoa Ianze kutolewa kwenye taasisi za Elimu kupunguza Talaka

    ZANZIBAR KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wameeleza...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndoa siku hizi zimekuwa chache kwa Vijana?

    Ukitizama siku hizi wanaofunga Ndoa ni wazee au vijana ambao tayari washazalishana. Kwanini ni nadra sana kuona Ndoa za vijana barubaru wenye miaka 24 hadi 32 ambao hawajazaa wala hawana watoto nje. Miaka ya babu zetu tulikuwa tunaona sana Kijana akienda kuchumbia mwali, huko wote wakiwa hawana...
  4. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya ndoa miezi tisa ni sahihi?

    Wakuu, Kikawaida mafundisho ya ndoa za kikatoliki hua kati ya wiki 2 mpaka mwezi 1 lakini katika jimbo XXX (Jimbo katoliki) na parokia zake zote hali ni tofauti kabisa mafundisho ya ndoa ni lazima uhudhurie kwa miezi 9. Watu wamelalama kuhusu hili lakini askofu wala hana habari sana paroko...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Jinsi nchi zinavyo endelea ndivyo ndoa na kuzaa sana zinapoteza nafasi ndani ya jamii

    Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa. Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo endelea na zilizo endelea kwa kasi. Utafiti uonesha vijana wa mataifa yaliyo endelea na yanayo endelea...
  6. Gwili

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa ambao ndoa zao zimekufa ila tumebaki kulea tu watoto

    Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu. Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita. Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Kwema Wakuu! Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya. Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
  9. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuolewa na kudumu kwenye ndoa

    1• Mwanamke elewa kwamba huwezi kumlazimisha mwanamme akupende hata umfanyie Nini ie, umpe hela etc, jua tu ataishia kukutumia tu then atakuacha. 2•. Mwanaume anayeonyesha kukupenda zaidi kuliko ww (ke) vile unavyompenda mheshim usimdharau Wala kumuudhi cheza nae kwa akili ili siku ukikwama...
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya. Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu. Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni muda upi mwanamke aliyepo kwenye ndoa si vyema kuranda mtaani?

    Wakuu kama mtu ni mke wa mtu kulingana na utamaduni wa kawaida ni wakati Gani usiku SI vyema kwake kuranda rande mtaani?
  12. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwaheshimu sana wanawake walioamua kutuzalia na kutulia kwenye ndoa

    Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza. Mwanamke kama huyu muheshimu sana akimlilia mungu wake KWA maboko unayomfanyia mungu atamjibu. Imagine una...
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Tupo kwenye ndoa changa, ndio kwanza inamiezi tisa na wife anaujauzito wa kwanza: Naombeni ushauri

    Wife hana tatizo lolote, zaidi kuonekana mchovu na kudeka hapa na pale. Je, mwisho wa kupiga pipe ni mimba ikiwa na wiki ngapi? Naombeni ushauri wakuu, maana nahofia kumtoboa mtoto utosi.
  15. McCollum

    JamiiForums Tanzania Akina dada na kaka wanawekana kinyumba. Moja ya sababu ya kataa ndoa

    Gwala kwa wana Jf wote, kwa wengine wote ninawapa salamu yangu ya heshima! NB: Naomba kwanza niombe samahani kwa ambaye atakereka na mada tajwa, pia hii sio sehemu ya utafiti na hivyo haitakiwi kuchukulia hili jambo kwa ujumla. Naomba rasmi nianze na uzi huu, kwa miaka ya hivi karibuni...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asikudanganye mtu yeyote yule, pesa haina nguvu yeyote kwenye mapenzi. Pesa hainunui mapenzi, haijawahi kununua mapenzi. Pesa inaweza kununua ngono lakini kamwe haitoweza kununua upendo wa kweli. Elewa kuwa pesa inagawanyika lakini mapenzi hayagawanyiki. Elewa...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kweli maisha ya sasa, ndoa inatafutwa kwa lazima

    Kutokana na changamoto za kiuchumi pamoja na uhaba wa wanaume wenye sifa za uoaji kupungua; mabinti wakileo wameanzisha utaratibu wa kujisogeza kwa mwanaume na kuanza naye maisha, bila kufuata taratibu za ndoa. Kuna binti mmoja amemaliza chuo, na kukaa mwaka mmoja nyumbani bila kazi, akaona...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendi ndoa

    Moja kwa moja kwenye uzi. Kama kichwa cha uzi kinavyosema" wanawake hawapendi ndoa" ndio hii inaweza kukushangaza lakini ndio ukweli. Wanawake hawapendi ndoa kabisa tena hiki kizazi cha sasa ndio hakipendi ndoa kwa kiwango kikubwa kuzidi cha zamani kidogo. Wanawake wanapenda hivi vitu...
  19. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Ndoa za sasa zina misukosuko mingi kuliko za zamani

    Habari za wakati huu, sasa ndoa za kileo ni za hatari sana, Tukiachana na zamani: 1. Ndoa za leo ni misukosuko. Wanaume wanaoa kitu kwa mtu badala ya yeye mwenyewe. 2. Mtu anaolewa na mtu kwa sababu fulani sio huyo mtu. Sasa tuanze, wanaume wengi wanaoa mke kisa umbo, wadhifa, anajua...
  20. A teller

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ndoa ya aina hii

    Wakuu habarini za jioni! Nafikiria kuanza mchakato wa kufunga ndoa na huyu mchumba wangu wa tangu vidudu Hadi Sasa, kutokana na Mambo kadhaa ambayo yapo nje ya uwezo wetu, naomba kufahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya serikali upoje? Nikiwa namaanisha process za kufunga ndoa ya kiserikali upoje...
Back
Top Bottom