ndoa

  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nashawishika kuingia kwenye uislamu kutokana na sheria za ndoa walizonazo

    Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao Ndoa sio kifungo kwenye uislamu Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya tendo la ndoa kwa wanandoa na wachumba hudhoofisha upendo wa ndani ya ndoa na kuimarisha upendo nje ya ndoa

    Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba. Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

    Wapendwa, Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa. Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo. Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
  4. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Swali najiuliza Je, NDOA ni CHUNGU au TAMU?!!

    Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!! Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika. •Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu ya NDOA, kutokana na vipigo na manyanyaso yaliyopitiliza na wengine wamejiua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuishi na mpenzi (bila ndoa) au kufunga ndoa?

    Kuna scenarios nyingi ambazo kwa mtu mwenye uelewa anaweza jiuliza bila ya kupata majibu. Mfano; 1. Unakuta mwanamke amezaa na mwanaume watoto 3 na wanaishi pamoja ila mwanamke analalamika kwamba bado hajaolewa na anatafuta mwanaume wa kumuoa. 2. Mwanamke anaishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha familia ndo huamua familia yake iweje. Mwanaume ndo kabeba taswira nzima ya familia yake. Mimi leo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

    Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu. Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
  9. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
  10. el_magnefico

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili kwenye ndoa

    Short story: this is experience nimepata recently, Kijana kaoa familia ambayo mama wa mwanamke ana matatizo ya akili. ndoa ilikuwa fresh sana amna shida. shida ilikuja wamepata watoto wa 3, 2 wana shida ya akili. Wanapata convulsion (fit, degedege) za kutosha. wamefanya everything. sasa...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

    Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)...
  13. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi ni mateso sana kwa watoto/ wake

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa Imani ambao nilikuwa na waamini sana ila mwisho wa siku wanafanya mambo kinyume na maelekezo ya Dini...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asilimia 21 ya wanawake Tanzania wamechepuka

    Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022, asilimia 21 ya wanawake wameshiriki ngono na wanaume ambao sio wenza wao na wala hawaishi nao. Kati ya hao, asilimia 22 walitumia kinga mara ya mwisho waliposhiriki ngono na watu hao. Kwa upande wa...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

    Naombeni ushauri wakuu. Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii. 👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status)...
  16. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

    Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani. Vikao vya Mke na Mume...
  17. African Geek

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

    Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa. Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka. Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Netflix documentary ya The Backhams ina funzo kubwa sana ya ndoa za kisasa zinapaswa ziweje.. modern life ndoa inapaswa muendane sana

    Habari wadau Muda si mrefu nilikuwa natazama documentary ya familia ya beckham Netfilx inayokimbiza sana huko netflix nikajifunza vitu kuhusu ndoa za kisasa 1. Wanandoa mnapaswa mfanane.. yaani mwanamke awe female version ya huyo mwanaume and vice versa. Hii namaanisha mwenza anapaswa awe na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya kumvuta mke ambae hataki kurudi kwenye ndoa

    Wadau nipeni mix ya dawa za kumvuta mke ambae yuko mbali na hataki kurudi
  20. African Geek

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    🤗
Back
Top Bottom