ndoa

  1. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania "Sipendi kupangiwa Maisha" Ndio maana sifikiri kuhusu ndoa

    Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa). Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae nipangia taratibu za kuishi na kuendesha mfumo mzima wa maisha yangu. Nimeweza tofautiana na watu...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za sasa nyingi zinafungwa na ujauzito, nini shida?

    Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3 Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency Mwingine jumamosi iliopita huyu afadhali kitambi kilikuwa si kikubwa sana Mwingine huuu dah mpaka nilikuwa naogopa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Una miaka 26? Ingia kwenye ndoa, acha uoga

    Kuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni. Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k. Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo...
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Kiimani

    Pichani, Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe. Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi. Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
  6. uzewela

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi. Jana usiku wakati wa kushiriki wakati naoeleka moto si akaropoka jina la mwanaume mwingine! Daah alinikata stimu hadi nikashindwa...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Cheti cha ndoa kimetajwa popote kwenye biblia au Quran?

    Naomba muongozo
  8. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

    Kuzaa mtoto nje ya ndoa mara nyingine kunaweza kuleta changamoto na kero kadhaa kwenye familia hasa bara letu la Afrika. Baadhi ya mambo ambayo nimeona kwa watu ambao wamezaa au kuzalisha nje ya ndoa (watoto waliopatikana ujanani) ni; • Mambo ya Kihisia: Kuzaa mtoto nje ya ndoa kunaweza...
  9. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye akili afungi ndoa na mwenye akili zaidi haoi!

    Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu. Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k Na wenye akili zaidi hawahoi wala hawataki kufanya mapenzi, mfano; Galie Galie, Sir Issack Newton...
  10. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Watu wanaotuzunguka ndiyo kizuizi cha ndoa na mahusiano kuvunjika

    Watu wengi kwenye ndoa na mahusiano ya mke na mume wanaishi Ili siku ziende lakini moto unawaka. Wengi wanatamani kuachana tatizo wanaogopa ndugu jamaa na marafiki kwamba itakuwa stori. Kama kila ndoa na mahusiano yangekuwa na dunia yao asilimia kubwa tungetengana.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinakosekana kwenye ndoa za siku hizi?

    Kwanza ni rahisi sana kuvunjika, kuvumiliana ni zero, kusameheana ni finyu mno. Migogoro na mafarakano kwenye familia hayaishi. Visasi na vinyongo kama vyote. Ndoa nyingi ni kama uwanja mapambano au harakati flani tu. Ni mwendo wa kuviziana na kutegeana, nani miongoni mwa wanandoa alianzishe...
  12. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Anataka kuacha Ndoa kwa sababu hizi

    Bwana MAPESA amesema biashara yake imeshuka baada ya ndoa. Bwana MAPESA anamiliki maduka makubwa matatu ya biashara ambapo bidhaa za nyumbani na mahitaji mengine hutolewa, biashara ambayo alikuwa akifanya akiwa mtu mmoja(, bila kuwa na ndoa Kabla). Biashara Ilikuwa Inaendelea vizuri sana Kwa...
  13. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Kwa wakristu wote, imfikie hadi papa, wazo la kuboresha kiapo cha ndoa cha kikristu

    Mambo yanasonga na dunia inabadilika. Kama tuliweza kukaa na kujadili tunafanyeje kuhusu masuala ya ndoa na ubatizo wa watu wale, basi tunaweza kukaa na kujadili kuboresha mambo mbalimbali. Siamini kama maelekezo yote yanatoka top down tu. Naamini yanaweza pia kutoka down up. Maji yakapanda...
  14. Pamba Anord

    JamiiForums Tanzania Wivu wa wanaume kwenye ndoa ni sababu ya wake zao kuhamisha mapenzi kwa watoto

    Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto) Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni huona ndoa kuwa tamu sana ila sababu za ugomvi mwingi katika ndoa ni pale mtoto anapopatikana, wanaume...
  15. Baba Uzia

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

    Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo). Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

    Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa. Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda. Binti: lakini mama huyu ni muelewa. Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe. Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli?? Binti ni pisi kali mno...
  17. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  18. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Aghairi kufunga ndoa baada ya kugundua mke mtarajiwa alimtembelea Ex wake usiku kabla ya ndoa

    Sijajua imetokea nchi gani nafikiri kati ya Congo au West Africa kule. Afu Ex wake inasemekana alihudhuria kwenye ndoa. Nguo za zamani hazitupwi. Cha kushangaza mbona ex wake hakumchumbia😳😳😳. Mshikamawili moja umponyoka.
  19. Nifah

    JamiiForums Tanzania Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Ndoa ndoano! Mambo sio mambo! Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi. Ikumbukwe Wolper alifunga ndoa takatifu na aliyekuwa baba wa mtoto wake Richard ‘Rich Mitindo’ 19/11/2022...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanaume 142 Iringa wakimbilia Polisi kisa kufanyiwa ukatili katika ndoa

    Idadi ya wanaume 142 Mkoani Iringa wamefika Polisi kati ya mwaka 2020 hadi 2023 kulalamika kufanyiwa vitendo vya Ukatili kwenye Ndoa. Mbali ya idadi hiyo ila inaelezea kuwepo kwa idadi Kubwa zaidi ya wanaume ambao wanapigwa ama kufanyiwa Ukatili na wanawake kwenye Ndoa ila wamekuwa wakiona aibu...
Back
Top Bottom