Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,904
NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli

Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80% mnafuraha na kila siku ni vicheko basi juweni kabisa hapo Mungu yupo kati yenu.

Mungu anaisha paradiso, peponi sehemu yenye raha, furaha na upendo. Popote penye furaha, raha na upendo ujue hapo Mungu yupo. Na ninyi ndio Malaika zake, watoto wake.

Lakini ukiona ndoa yako haina furaha, mnachukiana, mnagombana, mnalumbana lumbana kama mashetani yanayowania ufalme. Mnatishiana maisha, mnaviziana na kulipana visasi.
Mnafichana na kusalitiana. Ujue humo ndiko kuzimu, yaani nyumba yenu mfalme ni shetani na ninyi ndio mashetani wenyewe sasa.

Ukiona mnategeana majukumu, hamtaki kushirikiana, kila mmoja anataka yeye ndio aheshimiwe na kupendwa zaidi. Ujue ninyi nyote ni mashetani au miili yenu inatumika na mashetani.

Mashetani hayasikilizani, hayaheshimiani. Yanakiburi na ubinafsi. Yanadharauliana. Yanatamaa ya kunyonyana na kukandamizana.

Tafsiri halisi ya ushetani ni kuishi bila furaha, raha na upendo. Kutokuishi kwa Amani. Huo ndio ushetani wenyewé.

Ukiona hutaki kukaa na mwenzako kuweka mambo sawa. Licha ya kuwa wewe ndiye mwenye matatizo, ujue wewe ndiye shetani.

Ukiona mtu anakuambia ndoa ndoano, yeyote yule jua ni shetani, au kafanyiwa ushetani, au nyumba yake inatawaliwa na shetani.

Familia inahitaji mambo makuu yafuatayo ili iwe ni furaha, raha na Amani.
a). Upendo
Wote mpendanane.
b) Unyenyekevu na Upole, Haki.
c) Kusaidiana
d) Msamaha
e) Akili.
Uwezo wa kuelewana, kujuana na kutatua changamoto zinazowakabili kwa pamoja.

Fanya hayo mambo alafu familia na ndoa yako isipokuwa na furaha na raha njoo unitukane, niombee dua mbaya.

Ili familia na ndoa yenu iwe kama kuzimu mambo yafuatayo yatahitajika;
a) Ubinafsi.
Kila mmoja kutaka kujitanguliza na kupata zaidi
b) Kiburi
Kujiona wewe ni bora na unastahili kuliko mwingine na kujiona huna makosa ila mwenzako ndio anamakosa zaidi.
c) Kisasi.
Kutosamehena na kuahidi kisasi iwe kwa mdomo au ndani ya nafsi.
d) Upumbavu na kupenda ujinga.
Kuyapa kipaumbele mambo yasiyo na maana ni ujinga unaogeuza familia nyingi kuwa kuzimu.
e) Dhulma, kukosa haki na uadilifu.
Kile ambacho hutaki kufanyiwa usimfanyie mwenzako hiyo ndio Haki na uadilifu.
Wewe kama hutaki mwenzako asichepuke, basi nawe usichepuke. Unataka kuwa na wanawake wengi alafu unamzuia mkeo asiwe na wanaume wengi. Hiyo ni dhulma. Utibeli hauko hivyo.
Unataka kujaliwa lakini wewe haumjali mwenzako huo ni ushetani Pro Max.

Usijesema Maisha ni magumu. Maisha ni vile nafsi yako ilivyo. Nia yako ya ndani ndio itaamua maisha yako yawe na furaha na raha au yawe ya huzuni.

Taikon nimemaliza, leo sitaki maswali.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mkuu thats a myth, ni kama kusema "vita yenye amani" hiyo haipo you either forgive sacrifice surrender ignore or bow down, ndo utakapo pata Amani na furaha kwenye ndoa ila ndoa ni broad institution zaidi ya 6×6.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ina ups and downs and it's not always a bed of roses. Kuna nyakati hata huo upendo unapoa, furaha inakwisha, kuthaminiana kunapotea, na mambo kama hayo.
 
Ukiona mtu ameanza kukabidhi ndoa yake kwa mungu jua he/she is a total failure ameshindwa kuchukua maamuzi magumu na muhimu katika ndoa.

Mimi sijaandika mtu akabidhi ndoa yake kwa Mungu.
Watu wenye akili na upeo hufanya jitihada maisha yao yaongozwe na Mungu(aliyewaumba) na mara nyingi maisha yao huwa ya furaha, raha na upendo
 
Ndoa ina ups and downs and it's not always a bed of roses. Kuna nyakati hata huo upendo unapoa, furaha inakwisha, kuthaminiana kunapotea, na mambo kama hayo.

Furaha haiwezi kupotea kama mnafuata mambo niliyoyataja.
Ukiona furaha imepotea jua kuna mmoja kati yenu kafanya ushetani(Uasi)
 
Ndoa ina ups and downs and it's not always a bed of roses. Kuna nyakati hata huo upendo unapoa, furaha inakwisha, kuthaminiana kunapotea, na mambo kama hayo.
Na unatamani uwe singo hiyo hali ipo katika ndoa, wanandoa wangepewa nafasi ya pili wengi wasingerudi kirudi kwenye ndoa tena.
 
Mkuu, sijawahi kukutana na thread humu ikaongelea ukweli wa maisha ya mahusiano yenye furaha kama hii.

Nipo kwenye furaha na amani, nakiri tunamtanguliza Mungu katika kila jambo.
Mungu yupo kati yetu, tumeuona ufalme wake katika maisha yangu na yule aliyenipangia yeye.
 
Hongera mkuu,wengi tunatamani kuwa hivyo lakini inashindikana,ukweli ni kwamba hakuna mtu hapendi ndoa/ mahusiano ila tu basi huenda tunaokutana nao sio watu sahihi
 
Back
Top Bottom