Kenya: Aliyekuwa Padri wa Kanisa Katoliki afunga ndoa baada ya kujitenga

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
f1d1fd22-f565-4d74-9dc7-64f89135d1a2.jpg

Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony

Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group

An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual step of getting married.

In the Catholic tradition, priests are supposed to commit to a life of celibacy but Reverend Father Edwin Gathang’i Waiguru has now joined a splinter group, known as the Catholic Charismatic church.

Bishop Patrick Mulau of the Kirinyaga Charismatic Church conducted the wedding ceremony on Sunday in Kiambu country, just north of the capital, Nairobi.

Standing next to his bride, Margaret Wanjira Githui, Father Waiguru said "it is possible to serve God and have a family and have a lovely wife".

"God did not make a mistake when he created a man and a woman and He said it is not good for somebody to be alone."

Hundreds of the couple's family and friends went to witness the unusual ceremony, NTV reports.

Source: BBC
 
Anatukumbusha ya askofu milimgo wa zambia alipoamua kuoa tulishangaa sana. Wako wengi sana wadogowadogo wasiojulikana huachana na upadri mapema sana hata kabla ya kuutumikia na kukimbilia kuoa. Kuna mwingine nae aliachana na upadri akaoa aliyeachana na usista na sasa wana watoto na maisha yanaendelea kama kama kawaida. Hakuna dhambi hapo ameitendea haki nafsi yake
 
View attachment 2790855

Kenya nchi ya matukio
 
Mjinga tu huyo. Muda waote alikuwa hajui kwamba anatakiwa kuoa Hadi akaenda upadri?. Padri kilaza Sana.

Kaka mbona makasirikooo, alivokuwa single ilikuwa sawa, na sasa ameoa ni sawa. Hakuna jinai wala dhambi aliyotenda.
 
Hiyo ndiyo huitwa "escapism"!Mtu anaigiza kuutaka na kuupenda utawa lakini kumbe nia kuu anayo moyoni.Anaitaka elimu bure,malazi na mavazi kiujanjaujanja.Akishavipata tu,anakunjua tabia yake halisi na kuanza vibweka.Haya yote hayatokei kwa siku moja tu.
 
Anatukumbusha ya askofu milimgo wa zambia alipoamua kuoa tulishangaa sana. Wako wengi sana wadogowadogo wasiojulikana huachana na upadri mapema sana hata kabla ya kuutumikia na kukimbilia kuoa. Kuna mwingine nae aliachana na upadri akaoa aliyeachana na usista na sasa wana watoto na maisha yanaendelea kama kama kawaida. Hakuna dhambi hapo ameitendea haki nafsi yake
Hakuna dhambi kwenye kuoa ila Kuna dhambi kuendelea kuwa Kasisi wa Kanisa Katoliki maana kwao haikubariki. Ni ku observe kanuni tu.
 
Back
Top Bottom