msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa. Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
  2. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Msaada changamoto ya kujiunga x Twitter

    Wasalaam pana Page naitafuta kwenye app ya x Twitter napata changamoto kujiunga au mwenye Twitter anisaidie jinsi ya kujiunga maana napata mapicha picha nikitaka kujiunga mara sijui your not robot nk. Au mwenye Twitter nimpe page anisaidie kuisearch.
  3. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mama

    Habari, Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road. Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
  4. H

    JamiiForums Tanzania IT ilivyokuwa msaada mkubwa kwangu - Read and get motivated

    Habari napenda leo ku_share story ya namna ambavyo IT imekuwa backup kubwa sana kwangu kila ninapokwama. Mimi sio IT kwa kuingia darasani lakini nimejifundisha mwenyewe in a hard way. Mwaka 2015 nikiwa nimemaliza Diploma ya kilimo napambania ajira bila mafanikio nilipost hapa JF kuwa nafanya...
  5. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu makato ya Serikali

    Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la. Annually Gross salary...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sheria gani inatumika kutenga maeneo kulingana na matumizi mbalimbali?

    Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali mbali as such? Kote bila fidia. 2. Eneo la mtu unalipitisha barabara bila fidia. What is the law...
  7. Mbulukenge

    JamiiForums Tanzania Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

    Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu. Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa. Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi. Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara. Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi...
  8. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimapenzi tafadhali

    Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Qatar Charity yatoa msaada wa tani 90 kwa wananchi wa Hanan’g

    Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara. Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
  10. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Rafiki mjane Bibi John aliyekosa msaada, nasikitika sikumzika

    Salam ziwafikie JF members. Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuomba msaada kwa nchi ambazo Mawaziri wanatumia treni

    Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔 Yote haya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natoka sana jasho na kidole gumba kinawaka moto

    Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo. Nina shida ya Afya!. Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...
  13. desmond3076

    JamiiForums Tanzania Msaada TV yangu aina ya singsung, nchi 25 inawaka kidogo inajizima

    Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini? Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini? Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa...
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Sikia kisa cha Binti huyu, Jinsi kinavyosikitisha! Anahitaji Msaada wako na jamii kwa ujumla kukaa sawa. Je, tumsaidiaje?

    Maisha ni fumbo kubwa sana, hayo sio maneno yangu bali ni ya binti huyu mwenye umri wa miaka 35 kwa Sasa,. Binti huyu Ambaye ni yatima muda wake mwingi Anapandisha na kushusha na barabara za Kijijini Kwao pasipokuwa na mwelekeo Wowote Huku akionge Mwenyewe. Kisa kinaanza hivi. Baada ya...
  15. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa?

    Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini system inagoma...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau, Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa vyakula, ana allergy sasa

    Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa ana allergy sasa Samaki Maziwa ya unga na ng'ombe Karanga Dagaa Soya maharagwe Korosho Vyakula vyenye rangirangi Uji wa lishe Sasa wakuu huyu anapewa vyakula gani? Apate protini
  17. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mtu aliyeunguzwa na mafuta ya dawa za nywele

    -Habari za majukumu? Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya -Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua. Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

    Baada ya kikao cha usiku kucha baraza la seneti limekubali na kupitisha msaada mkubwa wa dola karibu bilioni 100 kwa nchi mbili marafiki ambazo ziko vitani. Sehemu ya msaada huo itakwenda Israel ambayo imeshaua karibu wapalestina 28000 na nyengine kwa Ukraine inayopigana na Urusi. ===========...
Back
Top Bottom