Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino.
Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
Kampuni ya Puma energies imetoa msaada wa vifaa vya ujenzi yenye thamani ya TSH 70 milioni kwa wananchi wa Hang waliokumbwa na janga la maporomoko ya udongo.
Sijaelewa Logic ya hii dhana ya wananchi wa Hang kumshukuru 'mama' wakati waliotoa msaada ni Puma energies. Mama amehusikaje hapo...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi.
Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi.
HISTORIA...
Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara.
Akikabidhi msaada huo...
Nahitaji kwenda kusoma NIT ili nipate cheti cha udereva halali ambacho kitakua na leseni ya C1, C2 na C3
Je ada yao pale ni Tshs ngapi, kozi inachukua muda gani mpaka kumaliza na kupata cheti na je ni vitu gani watahitaji kwa upande wangu ili kuruhusiwa kusoma
Natanguliza shukrani kwa...
Nipo kijijini ndani ndani na ninahitaji kununua gari ambayo haitonisumbua kwa mafuta au gereji ya mara kwa mara.
Nimekuwa natamani gari hizi mbili ila sijiu ni ipi sahihi kwangu ambayo haitonisumbua hasa kwa mafuta kati ya Primio cc 1490 na Ist cc1490.
Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.
Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
=======
IMF relieves EA’s indebted...
Taasisi ya Vanessa Foundation imetoa msaada wa hali na mali kwa wafungwa wa Gereza la Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, wakati wa Sikukuu ya Krismasi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nao pamoja na kuisaidia Serikali jukumu la kuhudumia wafungwa hao.
Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo...
AirtelTanzania
Wekeni sawa kwenye app yenu ya Kyc ya usajili.
Wekeni file ianze sehemu ya kuweka alama ya kidole alafu ndio idhini ya TCRA kama mitandao mingine.
Au kama inaanza na uidhinishaji basi ikubali kurudia kuweka kidole kilichokataa pale tu baada ya kukituma.
Maana kuna wateja...
Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona.
Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
Nilikuwa napata kero ya matangazo online..katika kupekuwa nimekutana na hiyo kitu nikaiweka kwenye setting kama yanavyoelekeza maelekezo naona matangazo sipati tena kwenye zile sites zote ambazo nilikuwa napata kero hiyo..je nauliza pamoja na kwamba matangazo hayaji ipi hasara ya kusett...
Wakuu,
Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha yakiendelea.
Nimeishia nayo kama miaka sita hivi.
Rate ya kueneaa kwake ilikuwa ndogo tu lakini kilichonistua...
Wasalaam!
Wakuu na wataalamu!
Ninaomba msaada wa kupata Microsoft Office Kati ya 2019, 2021 au hata 2016. Imekuwa mtihani kwangu kupata hizo version( for free)
Nashukuru sana wakuu
habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google natakiwa kupokea pin katika sanduku la barua lakini mimi sina naomba msaada yeyote anaeweza...
habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
Habarini ndugu JF.
Mimi ni kijana ambaye nimemaliza mkataba kwenye shirika ambalo nilkuwa nikifanya kazi. Katika kufuatilia nilijulishwa kuwa kwa mtu mwenye elimu kama yangu "certificate" anaruhusiwa kupata pesa zake zote na sio 33.33%, Hivyo nilijaza fomu zote na kurejesha nikitarajia kwamba...
Habarini wana JF. Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa hapo juu kinavyojieeleza.
Huyu ni mtoto wa jamaa angu nimeona niandike kwaajili yake, labda tutapata msaada humu ndani maana binafsi nimeshindwa.
Nina mtoto kwa sasa ana umri wa miaka kumi na nne (14) yupo kidato cha kwanza lakini kwa...
Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina sinyaa na kua ndogo ndogo yaani ndogo sana na Hadi wakati mwingine zinapotea kabisa yani huoni kitu , kwa...
Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR
Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga
Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa
Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.