msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Tola

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Habari zenu wana jamvi, jamani naombeni kusaidiwa maswali yanayotoka kwenye mtihani wa written interview katika kada ya Relationship Officer tafadhali. Nawakaribisha wanajamii wenzangu tupeane uzoefu hapa kwenye hii thread karibuni sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa nywele za asili

    Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu...
  3. Complex

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi ninapoweza kununua engine kamili ya 1HZ na iliyo katika hali nzuri?

    Habari zenu wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Ni wapi naweza pata engine ya 1HZ iliyo katika ubora mzuri. Pamoja na swala hilo la ununuzi, pia ningependa kufahamu mambo yafuatayo juu ya hiyo engine. 1. Bei yake inaweza range kiasi gani? 2. Ni vitu gani vya kuzingatia katika...
  4. Nukta5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Huu ni mfumo mpya mbadala wa VVTi upo kwenye gari aina ya Allion 2009 na premio 2009. Mwenye gari aina hizo naomba ufafanuzi wa matumizi ya mafuta
  5. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya boda boda mpya 1 na used mbili ipi ninunue

    Wakuu za mwaka mpya, Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa mimi sijui chochote kuhusiana na biashara hii nikaona nije huku wakuu. Naomba pia kujuzwa utaratibu wa...
  6. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu bei ya windscreen anisaidie

    Jana ilikuwa siku mbaya kwangu baada ya mtoto wa jirani kufanya hii kazi hapo juu. Naomba clue kwa anaefahamu bei ya windscreen kwa sasa ni Tsh. ngapi maana tuko kwenye negotiation na mzazi wake kwa sasa ili kipengele cha “indemnity” kichukue nafasi yake.
  7. everlenk

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BAKTERIA HUYU Habari wanajamvi!!! Naomba kujua tiba ya Helicobacter pylori( H-pylori) ni ipi? Na je huu ugonjwa unatibika ? Je wapo watu walioumwa wakapona? Nina ndugu yangu yapata sasa miezi 6 anateseka na huu ugonjwa, anatapika sana sana mpaka...
  8. Ninja assasin

    JamiiForums Tanzania Msaada: Internet ya Tigo haisomi kwenye Samsung S8

    Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8. Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
  9. kagombe

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili

    Msaada mwenye matokeo ya kidato cha cha pili anisaidie.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu App ya kuvuta sauti anisaidie

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza naomba msaada kwa yeyote anayeijua App ya kuvuta sauti kwa mfano upo kwenye mkutano mwishoni na hakuna spika yaani mkutano hawatumii redio, so we ukifungua hio App inavuta sauti na utaisikia vizuri. Nawasilisha.
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania LHRC wapo kisiasa na hawana msaada kwa wananchi wa kawaida

    Hichi kituo cha kutetea haki za binadamu hakina msaada wowote kwa raia wa kawaida na inaonekana wao wapo kisiasa tu na kujaza matumbo yao kwa misaada ya pesa wanayopata toka huko nje. Wapo tayari kupiga kelele na kulaani pale wanasiasa wa upinzani wanapokamatwa au alipokamatwa mfanyakazi wao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania DC Mtatiro: Marufuku kufanya Sherehe za darasa la saba, fedha za Sherehe wazitumie kuwasomesha wasiwe mzigo kwa Taifa

    Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake. Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu...
  13. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa Solar nisaidieni kuhusu inverter

    Heri ya mwaka mpya wakuu.. Kuna fundi kamfungia bi mkubwa solar, tangu tarehe 30 December Sasa taa zinawaka ila inverter inawasha taa nyekundu na kupiga alarm. Fundi aliwaahidi kuwa jua likiwaka hali itakuwa shwari. Ila hali bado ni ile ile. Inverter ina 1000W batteries mbili za 12V. Kwenye...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mambo yameharibika

    Heri ya Mwaka Mpya wana- Mmu. Imenibidi nitafute ID mpya ili nijielezee vizuri mana original ni verified. Stori inaanza hivi: Baada ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mahusiano nikaja na wazo kwamba kama mtu sio mkeo it’s better to have backup plan, yaani plan B. Namaanisha nakuwa na mpenzi...
  15. kagombe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo

    Baada ya dakika chache tunatimba 2020 sawa.swali langu mwaka mpya ni upi huu unaobadiri calenda au ile siku yangu ya kuzaliwa ndio mwaka mpya wangu.
  16. ajent45

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada, nahisi nimemsababishia matatizo huyu denti

    Habari za muda huu wadau!!! Aisee kuna denti mmoja baada ya kumaliza kidato cha nne kaja kukaa hapa home kwa ndugu yake ambaye ni mpangaji katika nyumba tunayoishi. Sasa katika kuzoeana siku nikakapiga sound kakakubali lakini kakaniambia kuwa ni bikra na hajawahi kukutana na mwanaume...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ilitoa msaada wa chakula kwa Uingereza

  18. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu +256785 ni code ya mtandao gani Uganda?

    Nahitaji kujua +256785 ni code ya mtandao gani nchini Uganda.
  19. 27072019

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Boda boda ya Mkataba/Siku

    Salaam wakuu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, natafuta boda boda ya mkataba au kwa siku, maongezi zaidi nipo hapa kujibu, nipo Dar es Salaam. Tufanye biashara.
  20. majid salim

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua dawa ya mafua naombeni mnisaidie

    Wakuu habari zenu poleni na majukumu. Nina tatizo kidogo nahitaji msaada wenu, mimi nina tatizo la mafua la mara kwa mara lakini hii ya kipindi hii imenishika kweli na kama siku ya tatu hivi mafua yamenibana 2 usiku silali. Ni kwamba napumulia mdomoni puani siwezi kupumua kabisa napata shida...
Back
Top Bottom