Mpaka leo sijaelewa ziwa victoria na msaada wake kwenye huduma za maji kanda ya ziwa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,595
8,729
katika vitu ambavyo vina nishangaza kanda ya ziwa yani unakosa maji huku ukiangalia ziwa likiwa lina maji ambayo siyo ya chunvi.
kuna siku mvua ilinyesha ndio maji yaka toka yani mpaka mvua kweli.huduma za maji kanda ya ziwa ni za kusua sua tunaishi na ndoo na mapipa kwa mgao.
tatizo ni nini kwa idara ya maji
 
ccm na maviongoz yake yote na ile mibunge mle mjengon yote ndiyo janga kuu la taifa hili kuliko ujinga na umaskini na maradhi. zaid ya miaka 60 ya uhuru yako madarakan yanawaza kutawala tu na kujtajirisha na family zao.
 
Upo sehemu gani,mbona maji yapo ya kutosha sehemu nyingi tu,hadi maeneo ya Shinyanga,Tabora(Nzega,Igunga)nk?
 
Wewe andika uongo tu ila bibi yako anateseka huko. Lini ulikuwepo shinyanga, nzega, Igunga, kahama, Geita, Kishapu, Shinyanga, Bukombe, Simiyu, Mwanza halafu hujaona maji ni shida?
 
Bibi yangu anahusika vipi hapa mwanaharamu wewe?
Au unataka kunisababishia ban?
 
Wewe andika uongo tu ila bibi yako anateseka huko. Lini ulikuwepo shinyanga, nzega, Igunga, kahama, Geita, Kishapu, Shinyanga, Bukombe, Simiyu, Mwanza halafu hujaona maji ni shida?
Hapo kishapu ni pa hovyo sana niliwahi kununua maji dumu la lita 20 kwa 500 mwaka 2016 na maji yenyewe hayakua masafi
 
Attachments

  • Screenshot_20240203-102652.png
    Screenshot_20240203-102652.png
    107 KB · Views: 3
Faida za kuwa nalo zipo, mfano Samaki, Usafirishaji wa Majini, huduma za Maji n.k

Changamoto ni kuwa bado hatujalitumia effectively

Hapo ndiyo tulipofeli Mkuu

Angalia Wenzetu Misri wanavyolitumia vizuri

Na sasa wanataka kulitumia kwenye Usafirishaji pia, sisi bado tumelala Usingizi
 
Back
Top Bottom