msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu ya mbele ya Probox inavuma sana

    Kwenu wataalam wa magari naomba msaada wa kubaini chanzo cha miguu ya mbele ya probox kutoa mvumo mkubwa kiasi ikifika speed 80 km/h hata redio huwezi kusikiliza. Tatizo lilianza mwaka mmoja uliopita tukashauriwa kubadili bearings tulifanya hivyo haikusaidia, kisha tukanunua used nacoz complete...
  2. CompaQ

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuweza kufanya data recover kwenye laptop

    Habarini wakuu, Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote. Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza fanikisha au mtaalamu wa kuweza kufanikisha zoezi tafadhali msaada wake unahitajika. Nipo Dar Es salaam...
  3. rutajwah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  4. Gef

    JamiiForums Tanzania msaada tv yangu imeungua kifaa hiki

    Hellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao (Motherboard imeungua yote) hivyo labda ninunue Kibao kingine na wao kwa bahati m baya hawana hivyo...
  5. Tanki

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii

    Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii: Nyumba ina: Upana wa 15.5m Urefu wa 10m Bati za mita tatu Style ya bati sio za kwenda juu kama za siku hizi. Mfano wa urefu na style ni kama hii. Njuka II
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu suala hili la mkopo

    Mwaka jana niliapply chuo cha RUCU Iringa na nikapewa mkopo ila kutokana na sababu mbalimbali sikuweza kuripot chuo hicho. Mwaka huu nmeapply chuo kingine je kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo hiki nilichopo sasa?
  8. Jozedan56009

    JamiiForums Tanzania Msaada katika biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
  9. Agnes Madaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Hello JF Members, I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi. Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa...
  10. Baba jayaron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninapata wakati mgumu na X's, nipeni msaada

    Wasalaam, Iko ivi mi ni kijana kati ya 30 to 35yrs old, Nimekua kwenye mahusiano mbali mbali kwa wanawake wasio pungua 13... Nikijana ambaye bado najitafuta, kuhonga siwezi ila matumizi ya pamoja hayanishindi Kwasasa ninamahusiano na demu ambaye nnaweza jumuoa akitulia lakini... Shida...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  12. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Naweza pata laptop nzuri kwajili ya kuendeshea websites/blogg kwa bajet ya 500000/=?
  13. micind

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma uhasibu, nina cheti cha Kidato cha Nne cha Sita na degree nyingine isiyohusiana na masuala ya kifedha

    Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana na ACCA, NBAA na wale wenye degree za accountancy kutoka kwenye vyuo vikuu vya hapa nyumbani. Sasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu ICT project for final year

    Wakubwa zangu i hope mko powa, Nilikuwa nawaomba mnisaidie title ya project ya ICT itakayo husisha (html,CSS,PHP na MYSQL)
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
  16. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
  17. el_magnefico

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
  18. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za nje ni wa kweli?

    Habari, Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za njee ya nchi wako really au wanafanya kupata traffic/watu katika sites zao? Na kama kuna anae jua website zinazo weka matangazo ya kaz za njee ya nchi zenye Reputation nzuri naomba please.
  19. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Nahitaji sehemu wanayouza nguo za ndani kwa bei ya jumla Kanda ya Ziwa

    Nahitaji kuanzisha duka la nguo za ndani Nahitaji msaada sehemu wanapouza jumla Mwanza, Kahama na Kanda ya Ziwa kiujumla
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

    WanajamiiForums naomba kuuliza Nahitaji msaada pia Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021 Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa Daktari. Nataka mwakani nijaribu kuapply CLINICAL MEDICINE. Je, watanikubalia maana kidato cha nne...
Back
Top Bottom