Msaada: Suluhisho tatizo la simu kukwama (ku-stuck)

Jokia

Member
Feb 18, 2015
93
178
Habari zenu wakuu,
Simu yangu (Infinix Smart 6) inakumbwa na tatizo la ku-stuck mara kwa mara. Nifanyeje kuondoa tatizo hili??
 
Kama unamaanisha iko slow hapa na pale lakini inaendelea kufanya kazi hii inaweza kutokea hasa kwenye simu ambazo ni low end, hazina RAM ya kutosha na CPU yenye nguvu ya kutosha kuwa smooth kila wakati, jaribu kuipunguzia mzigo kwa kupunguza idadi ya app zinazorun, kuacha space empty ya kutosha (10-20%) etc. Pia kutegemea na simu kunaweza kukawa na settings kama za kuokoa battery ambazo zinapunguza performance ya CPU zaidi unaweza kuzizima pia unaweza kuzima animations inaweza kusaidia.

View: https://www.youtube.com/watch?v=VZK7J73uzCg
 
Nakazia
 
Back
Top Bottom