Barua ya wazi kwa Paul Makonda msaada wa dharula unahitajika tunakufa

Cheology

JF-Expert Member
Jun 25, 2022
323
502
Paul Makonda baba Keagan tafadhali tunaumizwa huku.

Ni miezi na miezi maji hayatoki tunaendelea kukosa pamoja na mvua na mafuriko makubwa wakati maji hayohayo yakotoka baadhi ya maeneo.

Leo tumepokea hii taarifa

Screenshot_20240206_195639.jpg

Sisi hayo masaa ambayo maji hayatatoka.mbona sisi tuna masaa, wiki na miezi maji hayatoki?? Wanashindwa kutoa majibu yanayoeleweka. Kusihi.kwetu maeneo ya juu Inakuaje sababu ya kuwa presha ni ndogo, mvua zikinyesha maji ni mengi si ndio presha inakuwa kubwa hatuelewi, naamini utatusaidia wananchi wa maeneo mengi tajwa.

Kinyerezi kanga tunaonewa na majibu yao kuwa tutaisoma namba sisi wana ccm kosa letu ni kuwa na chama chetu.??
 
kwanini isiwe waziri wa maji, wakuu wa idara, wilay na mikia au hata prime na Raisi?

Ila hii nchi, nasikia wanauza maji kwa wanaouza kwenye magari
 
Hao ndo wameshin
kwanini isiwe waziri wa maji, wakuu wa idara, wilay na mikia au hata prime na Raisi?

Ila hii nchi, nasikia wanauza maji kwa wanaouza kwenye magari
Hao ndo wameshindwa na hawana majibu
 
Paul Makonda bana Keagan tafadhali tunaumizwa huku.

Ni miezi na miezi maji hayatoki tunaendelea kukosa pamoja na mvua na mafuriko makubwa wakati maji hayohayo yakotoka baadhi ya maeneo.

Leo tumepokea hii taarifa

View attachment 2896287

Sisi hayo masaa ambayo maji hayatatoka.mbona sisi tuna masaa, wiki na miezi maji hayatoki?? Wanashindwa kutoa majibu yanayoeleweka. Kusihi.kwetu maeneo ya juu Inakuaje sababu ya kuwa presha ni ndogo, mvua zikinyesha maji ni mengi si ndio presha inakuwa kubwa hatuelewi, naamini utatusaidia wananchi wa maeneo mengi tajwa.

Kinyerezi kanga tunaonewa na majibu yao kuwa tutaisoma namba sisi wana ccm kosa letu ni kuwa na chama chetu.??
Hali ni mbaya sana, sina hakika kama viongozi wenye dhamana wanalijua hili.
 
Back
Top Bottom