Jamii health, naomba msaada

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Wataalamu naombeni kuuliza

Je madhara yapi ? anayopata mama mjamzito anapokutana kimwili na mtu ambae si mhusika wa huo ujauzito wake mtu huyu anapata madhara gani hasa wakati wa kujifungua???

Na pili je mama huyu akisema atumie kinga kukutana na huyo mtu ambae si mhusika nn madhara ya zile kinga kwa huyu mama mjamzito??? Naomba kujua kwan nimekutana na haya maswali sana ila naona kama nakosa majibu sahihi zaidi maana si mjuzi wa ishu za uzazi
 
Hamna madhara yoyote.
Mtu anampakazia mume wake ujauzito wa mwanaume mwingine na wanafanya mapenzi miezi yote na mtoto anazaliwa yupo vizuri kabisa.
 
Hakuna madhara.

Labda ya kiroho kwa mnaoamini roho.
 
Na wengine wanasema mama anaenyonyesha kama analiwa sana na wadau tofauti tofauti inapelekea mtoto anachelewa kutembea. Ina ukwel wowote?
 
Back
Top Bottom