Msaada hospitali inayofanyia mazoezi kwa mashine watoto umri chini ya miaka mitatu waliochelewa kusimama na kutembea

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
881
303
Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu.

Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF.

MBARIKIWE.
 
Dahhhh... pole sana mkuu, Mungu amsaidie classmate apate kusimama na kutembwa
 
Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu.

Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF.

MBARIKIWE.
Ndugu yangu ikishindikana hospital jaribu kuongea ongea na watu wa Tanga kama kuna unaofahamiana nao kuna "kadawa" katafungwa mkononi au kiunoni na kiukweli ni kama uganga fulani ila haichukui miezi mitatu mtoto mtamkuta kwa jirani anapigana kabisa ,trust me
 
Back
Top Bottom