Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

HUKU ABROAD

Senior Member
Nov 20, 2020
127
210
Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu
zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko

1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend
ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa
sababu fulani ya Msingi

2. Mualiko wa Haina ya Pili ni Kwenye Conference , Kwa mwezi nchi za wenzetu
conference zinafanyika kwa mwezi zaidi ya 1000 , na zipo conference nyingi na kila
conference ina Taratibu zake za Kualikwa

A) Mualiko wa Kulipia ikijumuisha Chakula na Transport kwa kipindi chote
cha Mkutano
b)Mualiko wa pili ni mialiko ambayo sio ya Kulipia , Ni conference ambazo
baadhi ya makampuni hufanya bure watu kushiriki kutokana na haina
ya Conference

Kwa hvyo basi wengi huenda kwa kupata mialiko ya Kulipia kwa sababu huwa imenyooka
haina kona kona

Kwa yeyote yule mwenye Changamoto ya Kupata Mualiko wa Kusafiria nitafute nikusaidie
whats No +255 696444464 ... Maswala na Maelekezo ni bure nitafute
 
Hapo unaona umeandika pointii?
 
'Haina' inamaanisha nini?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mambo vp Wapenda kusafir huku Abroad kutafuta maisha ,
Leo nakuja na mchongo huu wa kusafiri na Kupata Kazi moja kwa moja

Kabla sijaenda kwenye mchongo wenyewe ngoja nikupe UZI HUU
Nchi nyingi za wenzetu zimekuwa zikiwekeza kwenye Viwanda Vikubwa ,
Mashamba makubwa , ma macompuni mbalimbali ,
kwa hivyo basi , wafanyakazi huwa wanafanya kazi na kuondoka kuama
sehem nyengine kujitaftia riziki , na ndo maana una kuta Nchi kama za
East-European countries Poland, Ukraine, Czech Republic & Lithuania Huwa
zina hitaji sana Labor ( wafanyakazi ) kutoka seheme mbali mbali duniani .

Na kazi hizo huwa ni kazi za kawaida tu kama za viwandani , au Mashambani , au
kazi za delivery na kazi n.k ila ukiwa unajua lugha vizuri na una elimu ya kutosha
kufanya kazi katika tasnia yako basi utaangaliwa namna ya kupatiwa kazi kutokana na
unachoweza kufanya

Masharti ya kazi hutegemea sana nafasi unayochagua. Ajira nyingi za kilimo hutoa malazi na chakula cha mchana bila malipo,Nafasi nyingi za kazi za uzalishaji/kiwanda/ukarimu hutoa usafiri wa bure, nguo za kazi, wakati mwingine vitafunio au chaguo la pata kinywa kanteen,

Kiwango cha chini cha mshahara wa jumla (baada ya kodi) kwenye kazi yenye ujuzi mdogo ni karibu $ 900 kwa siku kamili ya kazi / kwa mwezi; kwa wastani wateja wetu hupata $1100-$1200 kwenye nafasi zilizoachwa wazi na uzoefu wa awali. Wafanyakazi wenye ujuzi wanaweza kutarajia $1500-$1800/kwa mwezi. Ingekuwa vyema ikiwa ungezingatia kujifunza lugha ya kienyeji na kuboresha ujuzi wako ili kupata kazi yenye malipo zaidi ya hapo.

Kwan nchi nilizo zi mention hapo , kazi hizo zipo Kwa yeyote ambae atakuwa Teyari karibu
upate ushauri wa Bure ,

Cha kuzingatia .. HUKU ABROAD KAZI ZIPO ILA NI CONNECTION YAKO TU
Nipo tayari kuwasiadia watu 5 wa kwanza kunitafuta tuone tunawasaidia vipi wapate kazi
huku abroad , lakini Pia kuna Nchi Kama canada zipo kazi na Connection ya kazi ipo ,
ukiwa na utayari pia utanitafuta tujadiliane tuone itakuwaje ..

namba zangu za Whats app +255 696444464
kwa wenye uhitaji tu...
Ni connection inayoisha
ndani ya miezi minne inayokuja ,,...
 
Ukitapeli vijana wetu korodani zako zitakuwa halali yangu.
Maana dunia ya leo imejaa matapeli.
Ila kama ni kweli kila la la kheri.

Usije sema hukuonywa mapema.
 
Kijana mmoja yupo kazini ... nilianza nae kama mfano na ametoboa
na ndo maana nikaachia uzi huu , karibu huku Abroad
 
Umri wangu sio wa kuja kutumikishwa na mtu iwe Tz au abroad.
Mm nakula pensheni + stahiki nyingine za kitaifa.
 
Mambo vp Wapenda kusafir huku Abroad kutafuta maisha ,
Leo nakuja na mchongo huu wa kusafiri na Kupata Kazi moja kwa moja

Kabla sijaenda kwenye mchongo wenyewe ngoja nikupe UZI HUU
Nchi nyingi za wenzetu zimekuwa zikiwekeza kwenye Viwanda Vikubwa ,
Mashamba makubwa , ma macompuni mbalimbali ,
kwa hivyo basi , wafanyakazi huwa wanafanya kazi na kuondoka kuama
sehem nyengine kujitaftia riziki , na ndo maana una kuta Nchi kama za
East-European countries Poland, Ukraine, Czech Republic & Lithuania Huwa
zina hitaji sana Labor ( wafanyakazi ) kutoka seheme mbali mbali duniani .

Na kazi hizo huwa ni kazi za kawaida tu kama za viwandani , au Mashambani , au
kazi za delivery na kazi n.k ila ukiwa unajua lugha vizuri na una elimu ya kutosha
kufanya kazi katika tasnia yako basi utaangaliwa namna ya kupatiwa kazi kutokana na
unachoweza kufanya

Masharti ya kazi hutegemea sana nafasi unayochagua. Ajira nyingi za kilimo hutoa malazi na chakula cha mchana bila malipo,Nafasi nyingi za kazi za uzalishaji/kiwanda/ukarimu hutoa usafiri wa bure, nguo za kazi, wakati mwingine vitafunio au chaguo la pata kinywa kanteen,

Kiwango cha chini cha mshahara wa jumla (baada ya kodi) kwenye kazi yenye ujuzi mdogo ni karibu $ 900 kwa siku kamili ya kazi / kwa mwezi; kwa wastani wateja wetu hupata $1100-$1200 kwenye nafasi zilizoachwa wazi na uzoefu wa awali. Wafanyakazi wenye ujuzi wanaweza kutarajia $1500-$1800/kwa mwezi. Ingekuwa vyema ikiwa ungezingatia kujifunza lugha ya kienyeji na kuboresha ujuzi wako ili kupata kazi yenye malipo zaidi ya hapo.

Kwan nchi nilizo zi mention hapo , kazi hizo zipo Kwa yeyote ambae atakuwa Teyari karibu
upate ushauri wa Bure ,

Cha kuzingatia .. HUKU ABROAD KAZI ZIPO ILA NI CONNECTION YAKO TU
Nipo tayari kuwasiadia watu 5 wa kwanza kunitafuta tuone tunawasaidia vipi wapate kazi
huku abroad , lakini Pia kuna Nchi Kama canada zipo kazi na Connection ya kazi ipo ,
ukiwa na utayari pia utanitafuta tujadiliane tuone itakuwaje ..

namba zangu za Whats app +255 696444464
kwa wenye uhitaji tu...
Ni connection inayoisha
ndani ya miezi minne inayokuja ,,...
Wewe uko nchi gani kwanza?
 
Back
Top Bottom