Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,398
Wataalamu,

Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana.

Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya.

Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu nikaingia mtandao wa tinder.

Ukawa unaniletea options za UK, kuja kuhamaki namuona Dem wangu niliyekuwa na mpango wa kumuoa yupo tinder.

Nimeumia sana wakuu, kichwa imewaka moto. Hapa moja haikai mbili haikai, siku imeharibika hata sielewi nifanyeje.

Hapa Ninaenda kwa mangi kuagiza kreti Zima. Kabla akili hazijawa sio Zangu na sijafanya maamuzi magumu, naombeni mnishauri nifanye nini wakuu.
 
{A0F9FD2F-F45C-455D-89C3-ADF4D3BDCA92}.png.jpg
 
Back
Top Bottom