Habari wana JF.
Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu.
Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018.
Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
Wanasayansi wanasema huko anga za juu kuna galaxy trillion mbili na kila galaxy ina nyota 200 billion
Cha ajabu wanasema nyota moja ni kubwa Kuliko dunia yetu.
Je ukubwa wa anga ukoje? Ukubwa wa anga ukoje Hadi ukabeba vitu vyote hivyo
Kama anga imebeba vitu vyote hivyo basi salute kwa Mungu.
Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!
Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.
Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'...
Habari wana JF,
Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam.
Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini.
Nifanye nini kupambana na hii hali...
Habari zenu wakuu ?
Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ?
Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
Wasalaam pana Page naitafuta kwenye app ya x Twitter napata changamoto kujiunga au mwenye Twitter anisaidie jinsi ya kujiunga maana napata mapicha picha nikitaka kujiunga mara sijui your not robot nk.
Au mwenye Twitter nimpe page anisaidie kuisearch.
Habari,
Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road.
Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
Habari napenda leo ku_share story ya namna ambavyo IT imekuwa backup kubwa sana kwangu kila ninapokwama.
Mimi sio IT kwa kuingia darasani lakini nimejifundisha mwenyewe in a hard way. Mwaka 2015 nikiwa nimemaliza Diploma ya kilimo napambania ajira bila mafanikio nilipost hapa JF kuwa nafanya...
Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.
Annually Gross salary...
Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali mbali as such? Kote bila fidia.
2. Eneo la mtu unalipitisha barabara bila fidia.
What is the law...
Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu.
Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa.
Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi.
Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara.
Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi...
Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara.
Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
Salam ziwafikie JF members.
Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔
Yote haya...
Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo.
Nina shida ya Afya!.
Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...
Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini?
Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini?
Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa...
Maisha ni fumbo kubwa sana, hayo sio maneno yangu bali ni ya binti huyu mwenye umri wa miaka 35 kwa Sasa,.
Binti huyu Ambaye ni yatima muda wake mwingi Anapandisha na kushusha na barabara za Kijijini Kwao pasipokuwa na mwelekeo Wowote Huku akionge Mwenyewe.
Kisa kinaanza hivi. Baada ya...
Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini system inagoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.