Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,133
Naomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi, ni TV aina ipi za kichina ni nzuri au zina afadhali, kwa ubora, uimara, picha nzuri nk kushinda nyingine maana nasikia nyingine hazitimii hata zile inches za upana wa kioo.

Kuna MEWE, ALYONS, STAR ONE, STAR X, RISING, TCL, ALITOP, SOLAR MAX NK
 
Naomba kuuliza kwa mafundi na wajuzi,ni TV aina ipi za kichina ni nzur au zina afadhali,kea ubora,uimara,picha nzuri nk kushinda zingine,maana nasikia zingine hazitimii hata zile inches za upana wa kyoo,,,kuna MEWE,ALYONS,STAR ONE,STAR X,RISING,TCL,ALITOP,SOLAR MAX NK
Mimi ni muuzaji wa TV , ukitaka tv nzuri hakikisha tu unapewa Warranty card imejazwa na ipo verified. Achana na brand , brand zote zinakufa muda wowote, hakuna cha LG wala Samsung, zote ni uchafu
 
1. Singsung
- (Hizi tv Ni roho ya paka miaka nenda miaka rudi), changamoto yake Ni single screen.

2. Tropical
- (skuhz zimeadimika Sana,ila msumari balaa, Bei zake Ni sawa na kina SONY, SAMSUNG N.K). Tunawauziaga sana watu wa serikali na ubalozi.

3. Homebase
- (Ni msumari balaa, Bei yake inakimbizana na kina Hisense, Lg n.k na hawauzii njaa.

4. Goodvision
(Brand ndogo, ila imara na picha quality Sana, baadae itakuja kua brand kubwa sn)

5. Boss
Nazo sio mbaya.

Hizi nyingine ulzotaja Ni za kawaida sana
 
1. Singsung
- (Hizi tv Ni roho ya paka), changamoto yake Ni single screen.

2. Tropical
- (skuhz zimeadimika Sana,ila msumari balaa, Bei zake Ni sawa na kina SONY, SAMSUNG N.K)

3. Homebase
- (Ni msumari balaa, Bei yake inakimbizana na kina Hisense, Lg n.k na hawauzii njaa.

4. Goodvision
(Brand ndogo, ila imara na picha quality Sana, baadae itakuja kua brand kubwa sn)

5. Boss
Nazo sio mbaya.

Hizi nyingine ulzotaja Ni za kawaida sana
Kuna moja inaitwa Evol sijui nimepata IPO poa sana
 
Mimi ni muuzaji wa TV , ukitaka tv nzuri hakikisha tu unapewa Warranty card imejazwa na ipo verified. Achana na brand , brand zote zinakufa muda wowote, hakuna cha LG wala Samsung, zote ni uchafu
asante kwa ushauri mzuri mkuu..
 
1. Singsung
- (Hizi tv Ni roho ya paka miaka nenda miaka rudi), changamoto yake Ni single screen.

2. Tropical
- (skuhz zimeadimika Sana,ila msumari balaa, Bei zake Ni sawa na kina SONY, SAMSUNG N.K). Tunawauziaga sana watu wa serikali na ubalozi.

3. Homebase
- (Ni msumari balaa, Bei yake inakimbizana na kina Hisense, Lg n.k na hawauzii njaa.

4. Goodvision
(Brand ndogo, ila imara na picha quality Sana, baadae itakuja kua brand kubwa sn)

5. Boss
Nazo sio mbaya.

Hizi nyingine ulzotaja Ni za kawaida sana
Boss je kati ya tv zifuatazo ipi ina unafuu kwenye ubora ALITOP, SOLARMAX na RISING
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom