Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 457
- 2,115
Igweee...
Jamani ni wapi naweza pata hii nguo kwa hapa Tanzania? Very urgent need...
Nguo ni complicated sana utazurura sanaMpaji Mungu kazi hii hapa mkuu uje useme wana hawakupi michongo.
Mpe mitaa akazurure anaweza kupata.Nguo ni complicated sana utazurura sana
KarumeMpe mitaa akazurure anaweza kupata.
Ila nahisi manzese na karume hayakosekani.