lyatonga mrema

Augustino Lyatonga Mrema (born 31 December 1944) is a Tanzanian politician and former minister for home affairs in Tanzania. After switching party affiliation in February 1995 he joined NCCR-Mageuzi before moving on to Tanzania Labour Party (TLP) where he was made the Party Chairman. He also served as the Member of Parliament for Vunjo constituency on multiple occasions until 2015 when he was defeated in the National election by James Mbatia of NCCR MAGEUZI. In early 2016 Mrema was appointed by President John Joseph Pombe Magufuli as the chairperson of Tanzania Parole Board.Mrema is a member of the Chaga tribe from Kiraracha Village near Mount Kilimanjaro. He is the second of five siblings.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Hayati Lyatonga Mrema angetuambia ukweli juu ya waliohongwa huko Dubai. Alikuwa super spy Mzalendo wa kweli

    Ushahidi wa kimazingira. Circumstantial evidence ni kuwa huu mkataba mbovu kuna watu wamekula rushwa. Taifa letu linahitaji mashushushu kama hayati Lyatonda Mrema. Leo hii tungejua kila mtu namna alivyohongwa na kuisaliti Tanganyika.
  2. Idugunde

    Taifa letu limekosa maafisa Usalama wa Taifa wenye uzalendo kama alivyokuwa Lyatonga Mrema na wenzake. Ufisadi kama huu sio wa kuvumiliwa

    Nimedokezwa kuwa aliyepata tenda ya kuiuzia serikali vishikwambi vya sensa na walimu amepiga kama bil 10 faida ya pesa chafu. Ripogi ya CAG imetupatia jibu sahihi kuwa kumbe pesa za umma zinapotea sababu tu rais hayupo serious kuzilinda. Zinakwapuliwa na wahuni kama njugu. Lakini taifa hili...
  3. A

    TANZIA Prof. Alex Lyatonga Mrema hatunae

    1. Profesa Alex Lyatonga Mrema wa CoET, UDSM ametutoka. 2. Tuliosoma Civil Engineering, FoE (baadae CoET, UDSM tutamkumbuka daima). 3. Poleni familia na Doreen. 4. Naambatanisha Ratiba ya Mazishi na picha yake.
  4. Idugunde

    Tungekuwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kama marehemu Lyatonga Mrema wakazi wa Dar wasingesumbuliwa na wahalifu kama panya road

    Alipokuwa waziri wa mambo ya ndani alitumia mbinu za kishushu kupambana na uhalifu wa kila namna. Alikuwa akitoa siku saba majambazi kusalimisha silaha na walisalimisha. Kura za siri zilitumika kufichua uhalifu wa wahalifu wa kila namna. Nashangaa huyu waziri wa sasa anaongea kama vile...
  5. Jackbauer

    Utatuzi wa huduma za polisi - Alama ya legend Augustino Lyatonga Mrema

    Kwa namna ya pekee Jeshi la polisi nchini linapaswa kumuenzi aliyekuwa Naibu Waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani the late Augustino Lyatonga Mrema kwa kuja na mpango au kutekeleza mpango wa ugatuzi wa huduma za polisi nchini kwa kuanzisha ujenzi wa vituo vidogo vya polisi nchini. RiP Mzee...
  6. Mohamed Said

    Taazia: Augustino Lyatonga Mrema (1944 - 2022)

    TAAZIA: AUGUSTINO MREMA (1944 - 2022) Mohamed Mlamali Adam alimwandikia taazia Thabit Kombo alipofariki. Kalamu ya Mlamali akiandika kwa lugha yeyote iwe Kiswahili au Kiingereza inastarehesha lakini pia inaumiza kwani inakata kama upanga wa Sayyidna Ali. Naisoma taazi na kuirejea mara mbili...
  7. Mwande na Mndewa

    Usiku mwema ndugu Augustino Lyatonga Mrema

    USIKU MWEMA NDUGU AUGUSTINO LYATONGA MREMA. Leo 13:15hrs 21/08/2022 Usiku mwingine tena,mwamba umelala,daima tutaikumbuka mikutano yako na wananchi, mabomu ya machozi yaliyokuwa yakipigwa, khanga zilizokuwa zikitandikwa na akina mama ili utembee juu yake wakati ukipita mitaani na mambo...
  8. EINSTEIN112

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
  9. J

    Freeman Mbowe, James Mbatia na Lyatonga Mrema hawana tamaa ya Urais, huwaachia wengine Wagombee

    Tofauti na Wenyeviti wa vyama vingine vya siasa hawa niliowataja yaani Mbowe, Mbatia na Mrema hawajaonyesha tamaa ya kuutaka urais. Kwa mfano Prof Lipumba mzee Cheyo, Hashimu Ringer nk ni kama Madilkteta wasiotaka kupisha wanachama wengine ndani ya vyama vyao kugombea kila Uchaguzi ni wao tu...
Back
Top Bottom