Utatuzi wa huduma za polisi - Alama ya legend Augustino Lyatonga Mrema

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Kwa namna ya pekee Jeshi la polisi nchini linapaswa kumuenzi aliyekuwa Naibu Waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani the late Augustino Lyatonga Mrema kwa kuja na mpango au kutekeleza mpango wa ugatuzi wa huduma za polisi nchini kwa kuanzisha ujenzi wa vituo vidogo vya polisi nchini.

RiP Mzee wa siku saba!
 
RIP Mzee wa Kiraracha, Salimia sana Mzee Meko huko
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom