Freeman Mbowe, James Mbatia na Lyatonga Mrema hawana tamaa ya Urais, huwaachia wengine Wagombee

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Tofauti na Wenyeviti wa vyama vingine vya siasa hawa niliowataja yaani Mbowe, Mbatia na Mrema hawajaonyesha tamaa ya kuutaka urais.

Kwa mfano Prof Lipumba mzee Cheyo, Hashimu Ringer nk ni kama Madilkteta wasiotaka kupisha wanachama wengine ndani ya vyama vyao kugombea kila Uchaguzi ni wao tu.

Matumaini hata Tundu Lisu akifanikiwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema mwakani baada ya Mbowe kustaafu hatakuwa na tamaa ya uRais.

Mungu wa mbinguni awabariki hawa wanademokrasia Mbowe, Mbatia na Mrema.
 
Wewe kichwa chako kinapataga moto, sasa umeandika nini? Eti Mrema, unamuweka Mrema kundi moja na Mbowe? We kuna nut huwa inafunguka kichwani, inahitaji kuikaza vinginevyo itakuwa hasara:D:D:D
Hahaha........!

Wote ni Wenyeviti bwashee
 
Back
Top Bottom