kuuza nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MrsPablo1

    House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi. Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina sebule,vyumba viwili vya kulala,jiko na choo. inauzwa milioni 60 za kitanzania. Kwa maelezo zaidi na...
  2. Sheillah Sheillah

    Msaada juu ya kuuza nyumba ambayo hati ya umiliki bado haijatoka

    Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
  3. Afrocentric view

    Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

    Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri. Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda Dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje. Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK...
  4. Crocodiletooth

    Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina. Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15. Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
  5. Dr wa Kaliua

    Njia rahisi za kuuza nyumba

    Habari za wakati huu ndugu zangu! Naomba kuuliza kama kuna mtu yoyote anajua taasisi, shirikika au hata kamapuni ambayo inajishughulisha na ununuaji wa maeneo au hata nyumba kwa haraka. Kuna eneo la ndugu analiuza, sasa ni muda mrefu sana, na bei anayouza ni rafiki sana cha ajabu hauzi kabisa...
  6. Kinuju

    Moshi: Mstaafu wa Polisi ajinyonga baada ya mke wake kuuza nyumba na mali nyingine

    Mstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba. ---- Mstaafu...
Back
Top Bottom