Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

Afrocentric view

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,373
2,267
Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri.

Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda Dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje. Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK akafanye kazi.

Kimbembe amerudi anataka auze Kila kitu kuanzia nyumba mpaka kiwanja chake kipo msamvu ili aende.

Anasema ana Imani ndani ya miezi 6 anaweza kuzirudisha hizo asset.

Wakuu, hii imekaaje?
Hawezi kwenda kufeli akarudi na stress na majuto?
 
Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri.

Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje.
Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK akafanye kazi.

Kimbembe amerudi anataka auze Kila kitu kuanzia nyumba mpaka kiwanja chake kipo msamvu ili aende.

Anasema ana Imani ndani ya miezi 6 anaweza kuzirudisha hizo asset.

Wakuu, hii imekaaje?
Hawezi kwenda kufeli akarudi na stress na majuto?
Mama wa makamo hawezi kuwa na mawazo kama hayo!
Huyo ni wewe...
 
Back
Top Bottom