MrsPablo1

JF-Expert Member
Jun 9, 2013
807
1,342
Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi.

Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina sebule,vyumba viwili vya kulala,jiko na choo.
inauzwa milioni 60 za kitanzania.

Kwa maelezo zaidi na kuweka miadi ya kutembelea nyumba tafadhali wasiliana nasi kupitia Namba ya Simu📞📞📞📞+255 788 336 146📞. Hii ni fursa ya kipekee ya kuwekeza katika biashara ya real estate inayokuwa kwa kasi ndani ya jiji la dar es salaam . Karibu!"
C19BE726-9EC3-408F-B7CC-1A37E09ABE98.jpeg
8E515F0C-BCBB-4841-AC53-995232D7F805.jpeg
72AB7663-DCB4-43CE-B0C0-3681D9454589.jpeg
 
Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi.

Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina sebule,vyumba viwili vya kulala,jiko na choo.
inauzwa milioni 60 za kitanzania.

Kwa maelezo zaidi na kuweka miadi ya kutembelea nyumba tafadhali wasiliana nasi kupitia Namba ya Simu📞📞📞📞+255 788 336 146📞. Hii ni fursa ya kipekee ya kuwekeza katika biashara ya real estate inayokuwa kwa kasi ndani ya jiji la dar es salaam . Karibu!"View attachment 2913188
Tupia picha zaidi mkuu.. tuone na mazingra ya ndani
 
Back
Top Bottom