Deogratias Mutungi
Senior Member
- Oct 1, 2019
- 137
- 179
Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye tuyawasilishe kwa maandishi sehemu husika.
Kwa mantiki hiyo, siku ya Jumatatu nitaandika barua kwenda kwa msajili Jaji Mutungi, kuomba muongozo wa agenda hii, Sisi ni sehemu ya Katiba na Katiba ni sehemu ya maisha yetu kwa kizazi cha leo na kijacho, nawasilisha. Asante.