elibariki kingu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki

    "Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili, nikatibiwa na kufanyiwa operation mbili kichwani, nikaambiwa nirudi mwezi wa 8 lakini sikuweza kurudi kwasababu...
  2. Jidu La Mabambasi

    Elibariki Kingu ni mtupu kichwani, hana kitu!

    Member type: Constituent Member Constituent : Sing in the West Political Party : CCM Phone : +255786570111 P.O Box : Email address: e.kingu@bunge.go.tz Date of Birth : 1979-08-05 The history of education: School Name/Location Course/Degree/Award From To Level The University of Macedonia...
  3. Chachu Ombara

    Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Elibariki Kingu Ameishauri Serikali Kuiongezea Mkataba wa Kampuni ya Kuzalisha Umeme ya SONGAS

    MBUNGE ELIBARIKI KINGU AMEISHAURI SERIKALI KUONGEZA MKATABA WA SONGAS "Na kule wanakopita watu wa CHADEMA wanapiga propaganda kwamba Rais Samia Suluhu Hassan anaweka mabango, nataka nikuambie ukiona mtu anapiga kelele jua umembana vizuri, Mama amewashika kwelikweli kupitia Wizara yako January...
  5. MAHANJU

    DC Jerry Muro acha kupotosha umma kwa kutetea Ukatili wa Elibariki Kingu

    Ndugu yangu Jerry Muogope Muumba wako na kama wewe ni mkristo nenda katubu achana na roho ya Kinyama kiasi hiki. Jerry Muro unakuja na Balaah Blaah za kipuuzi eti CHADEMA wanakusanya Pesa kwa kusingizia kua wana mgonjwa anayeitaw Petter kama kisingizio. Achana na roho ya Kishetani Jery...
  6. Prof Koboko

    Mbunge Elibariki Kingu ashutumiwa kupiga, na kutaka kuuwa kiongozi wa CHADEMA Singida.

    Kuna shutuma kubwa sana dhidi ya Mbunge wa Singida Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu. Anashtumiwa yeye na kundi lake kumpiga, kumlawiti na kumbambikizia kesi kiongozi wa CHADEMA huko mkoani Singida Wilaya ya Ikungi kata ya Minyughe. Aliyepigwa na kufanyiwa vitendo vyote hivyo alikua...
  7. MAHANJU

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Hi Kamanda! Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema. Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua...
Back
Top Bottom