Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Hi Kamanda!

Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema.

Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua ni Kamanda mwenzetu alikua Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Minyughe, alishambuliwa vibaya sana na Mbunge wetu wa jimbo la Singida Magharibi E. Kingu akiwa na timu yake wakamuingiza kwenye gali wakaanza kumpiga na kumuumiza vibaya sana maeneo ya kichwa hata kumuingilia kimaumbile ndani ya gali walilokuwa wakisafilia.

Haya ni maelezo Mhusika mwenyewe Petter Mtinangi. Sababu ni kwamba yeye Petter alinyanyua vidole viwili kama ishala ya CHADEMA au haki wakati mbunge anapita na timu yake wakiwa zialani, hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo hata ukiuliza wananchi wote waliokuwepo kwenye eneo hili.

Alifanyiwa tukio la kinyama sana kisha wakampeleka kituo cha polisi Ikungi na kumfungulia kesi ya kushambulia gali ya Mbunge bila kujali wamempiga na kumuumiza vibaya sana.

Kule mahakamani walitishia kumfunga wakamwambia salama yake ni kuhamia CCM na kukanusha aliyofanyiwa na mbunge, alihamia CCM wakamfutia kesi mala moja hata hawakumhudumia hata kumpa japo panado akiwa mgonjwa. Alipoona amefutiwa Mashtaka akarudi tena CHADEMA kuendeleza akijua hana kesi tena. Pamoja na yote CHADEMA hakikusaidia wala CCM hawakusaidia.

Cha ajabu na cha kushangaza sana Mbunge akiambiwa kua taalifa za kitabibu alikokuwa akipatiwa matibabu swali zinaonyesha hali aliyonayo inatokana na kupigwa na kuumizwa vibaya kichwani kupelekea mishipa ya ubongo wake inayohusika na macho kuona haifanyi kazi na kupelekea kupelekea kupofuka macho lakini mbunge Kingu anajibu kwa zalau kwamba mtu aliyepigwa anapofuka macho? Inaumiza sana.

Baada ya hapo Mama yake ambaye hana uwezo ni mfagizi tu wa zahanati ya minyughe anahangaika kuomba misaada kupitia watu anaowajuwa zilipatikana pesa kidogo akapelekwa Hospitali ya Muhimbili akafanyiwa upasuaji wa kichwa kwa mala ya kwanza na akaambiwa waludi tena kumalizia upasuaji wa mala ya pili ili tatizo litibiwe lote maana lilikua kubwa sana. Mama alishachoka Kaka Malisa na mgonjwa hivi sasa yupo hoi Kitandani Mama yake amebakia analia tu nyumbani asijue afanye nini. CCM Wilaya wamebakia kuitishia amani hiyo familia wafunge midomo yao.

Viongozi wa chadema Wilaya wanaenda kumjulia hali mala moja moja lakini hawatoi msaada wa matibabu wala Kisheria kumshtaki Mbunge na genge lake.

Taalifa zote kuhusu tatizo la ndugu Petter Mtinangi CHADEMA mkoa na wilaya hadi kanda wanazo, CCM Wilaya na mkoa wanazo pia lakini hakuna hata mmoja anayeshughulikia na mgonjwa huyu.

KUPITIA KAZI YAKO KAKA MALISA TUPIA JICHO LA PEKEE KWA HUYU KAMANDA ALIYEKIHUDUMIA CHAMA MUDA MLEFU APATE MDAADA WA MATIBABU JAMANI. TUSIMWACHE APOTEZE MAISHA KWA SABABU YA TAMAA YA MADALAKA YA MTU MMOJA. KWA MUJIBU WA TAALIFA ZA NDUGU ZAKE WANASEMA IKIPATIKANA MILION 5 TU INATOSHA KAMANDA WANGU

POLE SANA NAJUA UNA MAJUKUMU MENGI SANA LAKINI USITUCHOKE KAMANDA MAANA KALAMA HII UMEPEWA NA MUNGU.

NIMEWEKA NA PICHA ZA MGONJWA APA CHINI UNAWEZA KUPITIA KWA MUDA WAKO.




Pia soma: Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki
 
Duh, na huyo mbunge bado yupo anapita mnamwangalia tu? Ninyi ni wapole sana lakini mimi huwezi kuniumizia ndugu yangu kiasi hiki nikakuacha salama. Nitakuwinda kama ndege popote pale, huu ni unyama siwezi kukuacha salama.
Hizi ndio kauli za kiume. Mtenda maovu anapaswa kufunzwa na vitendo pia. Kingu hata kama hawawezi kumvizia na kumfunza adabu kama wanavyofunza vibaka jee yeye hana familia?

Akisikia mke wake au mwanae kacharazwa viboko vya kutosha kutokana na yeye anavyotesa ndugu wa wenzake mnadhani atarudia tena?

Au wengine nao watafanya hivyo? Watu waache tabia za kusema "namwachia Mungu", yeye anazo kazi nyingi haya mengine ni yetu wenyewe.

Sabaya alikuwa anachekewa mpaka akawa anakata watu masikio, waendelee kumchekea Kingu wataona.

Tunataka kusikia kilio cha Kingu wiki hii afunzwe adabu.
 
Kwa akili hizi kama wangekuwa nazo waliokupatia uhuru had leo tungekuwa bado ni kolini la malkia

ukitumia akili kuna mahala utaelewa, sio kila vita unapaswa kujiexpose kwenye risk, kuna wakati lazima ufanye hesabu vizuri kufanikisha unachotaka kufanikisha.... Haya jamaa kaumia anayeteseka ni mama yake tena hali yake kimaisha ndio hivyo tena.

Mtoa mada katuambia si CDM wala CCM anayetoa msaada....kuna wakati lazima ufanye proper calculations kwenye kila hatua za harakati zako sio kwenda kwenda hovyo eti uitwe shujaa.
 
Back
Top Bottom